Mada nzuri kwa sisi wamama wa nyumbani mana nami ni mmoja wapo, watoto ukikaa nao nyumbani raha sana kwa jinc wanavyokuzoea, hata wakirudi kutoka shule, wa kwanza kuuliziwa ni mama, baba mida yake ni usiku, ikifika mida ya kwenda kulala, kama baba yao hajarudi ndio wanaanza kumuulizia, kama...