Thank's God, to have a Baby Girl..!!

Thank's God, to have a Baby Girl..!!

God's always Great!! Baada ya pilika za hapa na pale, leo ni siku muafaka kumshukuru Mungu kwa kumuwezesha my (wife) kujifungua salama mtoto wa kike named EMELYN. Ninawashukuru pia wana JF kwa msaada wenu wa mawazo: Kajifungua kwa OPERATION, pale Mount Mkombozi Morocco, na siku ya pili tu akawa ameruhusiwa!! Mama na Mtoto wote wanaendelea vizuri. Gharama halisi ukiondoa takataka zingine ni laki 7 tu. Thanks!!

Rejea hapa https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/515511-gharama-halisi-za-kujifungua-kwa-operation.html

I real appreciate all: Wanasema First Born akiwa wa kike basi ni Baraka!! A baby makes LOVE stronger!! Natumai kujaliwa na kuzidishiwa mema zaidi onwards!!

2zeyxqp.gif
2zeyxqp.gif
​
2zeyxqp.gif

svrink.jpg
2urxssj.jpg
2f05bvm.jpg
2h3r9ty.jpg
29uvako.jpg

cc: Mdia, Heaven on earth, miss strong, Uliza_Bei, DEMBA, Kijino, kabanga, OLESAIDIMU, Shark, BAK, MWAMUNU, bornagain, The secretary, christine ibrahim, Mkempia, Mkunde Original Dahlia, snowhite, ako me maste, Chabo, donbeny, nosspass, lukindo, BelindaJacob, dolevaby Jeji, Angelicious msemakweli2 monaco Ennie Marylyn jaxonwaziri Eli79, Tutor B The Boss na Wooooooote!!!

Hongera kaka, Mungu ampe afya mtoto na mama yake, uwe baba mwema. kama ulikuwa na kale ka tabia ka kukimbia kimbia acha huu niwa wakati muafaka wa kukaa pamoja, kulea na kujifunza mengi kuhusu malezi ya mtoto.

Swali langu kubwa, imetokea mkeo kufanyiwa operation au mmeshauliana mkaona operation ni bora kuliko kusukuma?
 
Waoh...I wish I could know you personally....coz u got so many good ideas!! One I wish upate mtoto mzuri in ur life na uzidishiwe more!! Kumbuka Abraham alipata mtoto wakati yupo kikongwe..so usikate tamaa madame!!

AMINA
tehe..tehe..tehe... hapo kwenye red hapo sikuelewi!
 
Hongera kaka, Mungu ampe afya mtoto na mama yake, uwe baba mwema. kama ulikuwa na kale ka tabia ka kukimbia kimbia acha huu niwa wakati muafaka wa kukaa pamoja, kulea na kujifunza mengi kuhusu malezi ya mtoto.

Swali langu kubwa, imetokea mkeo kufanyiwa operation au mmeshauliana mkaona operation ni bora kuliko kusukuma?

Kwenye huu uzi https://www.jamiiforums.com/mahusia...arama-halisi-za-kujifungua-kwa-operation.html
nilieleza kila kitu,labda hujapata muda wa kuupitia,lakini kwa ufupi tuliingia kweny malumbano kidogo,mi nilikuwa sitaki afanyiwe OP ila mwenyewe alikuwa radhi apasuliwe na madkari nao walisuggest hivyo,coz njia haikufunguka walidai
 
Nami nimejifungua baby boy kwa C section pale Kairuki hospital.It was not planned operation but emergency one .Namshukuru mungu tupo salama.
 
Hongera sana mkuu Sizinga,M/nyezi Mungu amjalie afya kichanga, pia hongera na pole Mrs.Sizinga
 
Nami nimejifungua baby boy kwa C section pale Kairuki hospital.It was not planned operation but emergency one .Namshukuru mungu tupo salama.

Dah whats a great news mkuu...kidume si mchezo, umempa jina gani? Naona wadada wengi wana-undergo C Section coz wanasema njia hazijafunguka!! Anyway Mpe Pole Mrs!! Na mtoto msalimie sana mwambie karibu kwenye Joto la dunia
 
hongera sanaa..
Mungu akutangulie uwe baba na mume bora au the best.
 
nilikuwa mbali na jf kwa zaidi ya wiki leo ndio naiona habari njema hii.
hongera sana mkuu Sizinga (baba emelyn), Mungu amkuze vyema baby Emelyn.
 
Last edited by a moderator:
nilikuwa mbali na jf kwa zaidi ya wiki leo ndio naiona habari njema hii.
hongera sana mkuu Sizinga (baba emelyn), Mungu amkuze vyema baby Emelyn.

Mkuu pole sana kwa mihangaiko...si mbaya walau umetia neno lako...na iwe Amen!!
 
Back
Top Bottom