Recent content by sir litto

  1. S

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Jamani tujiulize slaa amesema anaongea ukweli Huo ukweli unapatikana chadema tu?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    Kwenye mkutano wa ccm watu walitoka Zanzibar we unashangaa kimara
  3. S

    JamiiForums Tanzania Je, mwanaume anaweza kumbaka mke wake wa ndoa?

    Kutokana na mazingira ya hapo juu hiyo si kubaka, Sheria ya makosa ya jinai katika sehemu ya 130 ime elezea kubaka kama kitendo cha mtu kufanya mapenzi na mwanamke bila ridhaa yake Lakini imeendelea kwa kusema kuwa mazingila hayo hayatokei kwa mume na mke Hivyo basi mume hawezi kumbaka mkewe...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wafahamu wachawi na uchawi hapa

    Simulizi yako haina mashiko Pale ulipo sema ijumaa wachawi aw logi kwasababu ya uwapo wa mikutano ya kilokole siku hiyo, sioni kama kuna ukweli maana ulokole hasa nchi zetu hizi umekuja juzi tu na uchawi upo tangu enzi sasa ijumaa kabla ya ulokole walokua wanaloga?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

    Soko mjinga ufakara hiyoo
  6. S

    JamiiForums Tanzania Unajifanya huabudu freemason?

    Yaani we ni mvivu wa kufikiri yani neno football kwenye chama cha mpira ni mason. Kwahiyo ulitaka waweke headball?!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina shahada ya Development Studies

    Mi nita mpa ardhi alime
  8. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina shahada ya Development Studies

    Hili taifa halito endelea kamwe yana una kaa nyumbani miaka yote unasubili kazi? Ina maana huna mbinu nyingine ya kutoka kimaisha?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa afuata upako kwa 'Nabii' wa Nigeria

    Kumbe joshua ni mganga
  10. S

    JamiiForums Tanzania Diamond asitisha kupokea maombi ya Collabo

    Aaaa kumbe we ni ------ basi yaishe
  11. S

    JamiiForums Tanzania Diamond asitisha kupokea maombi ya Collabo

    Yani ww unamshilikisha munge kwenye ukafiri Eti inshallah
  12. S

    JamiiForums Tanzania Is Atheism Satanism?

    Kifo kifo kifo kifo Ndicho kitakacho maliza mzozo kila mmoja atajionea yaliyo fichwa na mungu wala msitukanane
  13. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mufti Issa Shaaban Bin Simba afariki Dunia

    Innalilah wainailah rajiun
  14. S

    JamiiForums Tanzania Course zipi nzuri kwa waliosoma Arts?

    BAED ndo habari ya mjini
  15. S

    JamiiForums Tanzania Serikali haitaki kuniandika kwenye BVR?

    Njoo ujiandikishe luchelele hapa watu wengi wa mkolani wamefika na kazi inaenda vizuri Nimefika hapa saa 3 na saa tisa nimepata kitambulisho
Back
Top Bottom