Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 370,796
- 858,576
Football na Sinema ni pando la Freemason na viingilio ulipavyo ni sadaka.
Angalia hii;
Vyama karibia vyote vya mpira wa miguu havikosi neno football. Halafu fikiria kuhusu Hollywood, Nollywood, Bollywood na sasa Bongowood na zote zinafanya vizuri yaani zinauza sana.
Vitu vidogo visivyo na mantiki lakini jaribu kuunganisha dots.