Recent content by SIOMIMI

  1. SIOMIMI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegundua mchezo mchafu wa mke wangu

    Kama kuacha kazi hawezi na kazini ndio anakofanyia hiyo michezo yake michafu bila shaka hata kuacha kulala na hao wageni hawezi acha pole sana mkuu
  2. SIOMIMI

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwana JF, Kennedy Lufulondama afariki dunia

    Poleni sana wafiwa Mungu awatie nguvu katika kipidni hiki kigumu
  3. SIOMIMI

    JamiiForums Tanzania Kodi ya majengo bado kizungumkuti

    Kuna baadhi ya ofisi za TRA wameongea na bank walete mtu wao wa kupokea pesa za walipa kodi ya majengo ili kupunguza msongamano.
  4. SIOMIMI

    JamiiForums Tanzania Kodi ya majengo bado kizungumkuti

    Malipo yote yanafanyika bank kinachofanyika ni mtu kwenda kuchukua bill yake na kwenda bank kulipia. hiyo bill ina contro namba ambayo inatumika kulink kati ya TRA na Commercial bank
  5. SIOMIMI

    JamiiForums Tanzania Vipi kuhusu ajira za TRA wa walioajiriwa serikalini.

    Kama wanakuzingua apply tu then kitajulikana mbele ya safari
  6. SIOMIMI

    JamiiForums Tanzania Kiama: Vocha za simu kukatwa kodi ya VAT kabla ya kuzitumia!

    Section 38.-(1)of VAT Act state that "A price advertised or quoted by a registered person in respect of a taxable supply shall be value added tax inclusive, and the advertisement or quote shall state that the price includes both value added tax and the amount of value added tax payable on...
  7. SIOMIMI

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Aliyekuwa Spika wa Bunge la tisa, Samwel Sitta afariki dunia

    R.I.P Mh Sitta
  8. SIOMIMI

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Uchukuzi atoa ufafanuzi kuhusu ndege mpya na ujenzi wa reli ya Dar-Mwanza

    Je ukubwa wa injini za fast jet na hizo Bombardier ni sawa?
  9. SIOMIMI

    JamiiForums Tanzania TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Umepima wewe
  10. SIOMIMI

    JamiiForums Tanzania TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Safi sana
  11. SIOMIMI

    JamiiForums Tanzania TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Off course kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi
  12. SIOMIMI

    JamiiForums Tanzania TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    You made my day [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  13. SIOMIMI

    JamiiForums Tanzania TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Vuta subira utaitwa
Back
Top Bottom