Recent content by sinoatrialnode

  1. S

    JamiiForums Tanzania What's your Relationship Status?

    Single and searching for a mate
  2. S

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa SUA 2017/18 tukutane hapa

    Naombeni info ya BSc with education
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Narudishaje furaha yangu?

    Pole sana mkuu... Embu tafuta mwingine mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. S

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday to Me, RIP Mama.

    The moment you were out, is the moment your mother leave the world First happy birthday to you.. Second let's our mother rest in an eternal All we human being and we will return to Allah, her forward is our backwards Enjoy the first day and sorrow the loss for ur beloved mama Sent using Jamii...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nataka niache advance PCB nahisi imenishinda

    Hahahahahahaha... Sio kitoto mkuu Sent from my TECNO_P5_PLUS using JamiiForums mobile app
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nataka niache advance PCB nahisi imenishinda

    Pole sana mkuu... Mimi ni mmoja wahanga wa PCB... Kiukweli hiyo comb kama inakushinda achana nayo maana huko form six ndo usiseme... Namshukur Mungu Kwa kumaliza salama na kupasua vizur.... Ni swala la mda tuu...
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, hii adhabu inanifaa?

    Mkuu umemshaur vizur sana.. Hongera kwa maneno yako ya busara... Iwe funzo kwa hawa vijana wetu wanaoendekeza mapenzi
  8. S

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu chuo cha Archbishop James University (AJUCO)-Songea

    Pole sana mkuu Mara nyingi vyuo vya private vipo kibiashara zaidi na ndio maana unaona promotion. Sababu system ya udahili imebadilishwa kila chuo cha private kinatumia mbinu kuvutia wateja hususani kwenye magazeti Kinachotakiwa mtulize huyo kijana wako mwambie asubiri matokeo ndio process...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Come On!Am looking for a little Angel(Wife) to make my world complete

    These are the wise words.. Congrats for ur warm welcome [emoji120] [emoji120]
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale wote tunaosomesha wachumba na vimada, kujeni pande hizi

    Njoo inbox tafadhali
  11. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi baadae awe mke wangu

    Habari za sikukuu ndugu zangu wakuu Hope Bila Shaka mko poa na ujenzi wa taifa.. Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo mimi ni kijana wa miaka 29 ninatafuta mwenza ambaye baadae awe mke wangu. Muhusika awe na tabia njema na pia sichagui rangi wala kabila, awe muslim by religious belief...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Let's share: Uliwahi kusaidiwa na mtu usiyemfahamu kabla (msamaria mwema)? Kipi kilitokea?

    Nilikuwa nakula embe hapa maeneo ya ubungo Sasa Ile kupitia darajani bhana nikakutana na dogo wa primary nadhan alikua Anaelekea kwao kutoka shule, dogo akaniomba pesa ikabidi nimpe embe tuu maana nilijua huyu anaogopa kuomba embe... Mtu mzima na ndevu zangu nikamwachia
Back
Top Bottom