Recent content by sing8

  1. sing8

    JamiiForums Tanzania Hapa ndipo tumefika?

    Nimepita mtaa mmoja hapa jijini Dar es salaam, nimekutana na kibao kimeandikikwa MAGU halafu mbele yake baada ya maneno hayo pamefutwa, nilipochunguza zaidi nikaona maneno yaliyokuwepo yalikuwa yameandikwa FULI. Nilipouliza wenyeji wakaniambia mtaa ulikuwa unaitwa kwa jina la huyo bwana mkubwa...
  2. sing8

    JamiiForums Tanzania Ujasiriamali: Usindikaji wa Yoghurt na Mtindi

    Asante kwa huu uzi, tunasubiri muendeleze wa namna ya kutengeneza mtindi
  3. sing8

    JamiiForums Tanzania Zawadi ya Harusi: Benson Mwashinga, Mwandishi na mtunzi asiye na jina ila ubora wa kazi zake ni balaa

    Hapotei mtu hapa, safari ndio inaendelea
  4. sing8

    JamiiForums Tanzania Zawadi ya Harusi: Benson Mwashinga, Mwandishi na mtunzi asiye na jina ila ubora wa kazi zake ni balaa

    ZAWADI YA HARUSI, Hii ni riwaya ya kusisimua na kuelimisha inayofuata ubora uleule wa ubunifu toka kwa mwandishi mbunifu inayomhusu msichana mrembo Josephine. Licha ya uzuri aliokuwa nao Josephine lakini matatizo hayakumuogopa; amekumbana na matatizo mengi na magumu katika maisha yake. Siku ya...
  5. sing8

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Kimara.

    Boss kiwanja hicho 5milion kama upo tayari tuyajenge
  6. sing8

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tecno Boom J8 sokoni

    Laki ipo unachukua
  7. sing8

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anakemea mapepo ile mbaya

    Kama kelele zinakuzingua mpe chumba chake halafu kiwekee sound proof, akitaka kuomba tu mwambie aende kwenye hicho chumba. Hapo utaondokana na hizo unazoziita kelele. Lakini vipi? Muda wa kwichi kwichi hafukuzi mapepo?
  8. sing8

    JamiiForums Tanzania Niaje wadau naombeni tushare techniques za kusoma

    Acha uvivu dogo, kuna mbinu nyingi sana za kusoma. Nenda ukagoogle utazipata na zitakusaidia usisahau. Ukishindwa hata kuingia google ujue wewe kusoma sio kipaji chako
  9. sing8

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mtunzi wa sauti toka Ughaibuni ndg. Christopher Mwashinga

    Inaonekana ni muda mrefu huu uzi haukujibiwa. Leo nimepata Jibu, Mwandishi wa Kitabu hicho cha mashairi, kiitwacho "Sauti Toka Ughaibuni" hatimaye nimefanikiwa kufika kwenye Duka ambalo vitabu vyake vinauzwa pale kwenye jengo la Mwembechai Plaza magomeni. Nilishangaa kuona vitabu vingi...
  10. sing8

    JamiiForums Tanzania Nahitaji photocopy machine used

    Kama unaphotocopy machine njoo inbobo tuulizane yote hayo.
  11. sing8

    JamiiForums Tanzania Nahitaji photocopy machine used

    Wanajamvi kuna mtu humu alipost ya kwamba anauza photocopy machine used, naomba ani PM tufanye biashara
Back
Top Bottom