Niaje wadau naombeni tushare techniques za kusoma

kalovha

JF-Expert Member
Dec 10, 2017
712
500
Mimi ya kwangu ni kuandika summary na kurudia rudia ...but niko advance naona mambo mengi nasahau haraka naombeni mbinu zenu
 
kindikwili

JF-Expert Member
Oct 5, 2016
1,870
2,000
Techniques za kusoma ziko nyingi kutegemeana na malengo yako. Kama malengo yako ni kufaulu mtuhani hata hiyo unayotumia inaweza kuwa technique nzuri tu lakini kama lengo lako ni kuelewa mambo kwa undani ( yaani kuwa nondo) soma vitabu ambavyo huelezea mambo kwa kina
 
But mbona huku advance vitu vinasahaurika mkuu...
 
Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
3,976
2,000
Mimi ya kwangu ni kuandika summary na kurudia rudia ...but niko advance naona mambo mengi nasahau haraka naombeni mbinu zenu
Shule zikisha fungwa Bhana hizi mada ndo zinaibuka.... Any way masomo ya sayans you claim then you understand ....mengine ni kutiana moyo tuu.... Much repeatation la sivyo pcb utaiona ngumu kama n kichwa cha panz....haijawah kumwacha mtu salama
 
kalovha

JF-Expert Member
Dec 10, 2017
712
500
Shule zikisha fungwa Bhana hizi mada ndo zinaibuka.... Any way masomo ya sayans you claim then you understand ....mengine ni kutiana moyo tuu.... Much repeatation la sivyo pcb utaiona ngumu kama n kichwa cha panz....haijawah kumwacha mtu salama
The more u understand the less u remember
 
Daviie

JF-Expert Member
May 20, 2016
1,172
2,000
Kila mtu na mbinu yake mkuu we jiamini hiyo unayoitumia ni nzuri na mm nilikuwaga naitumia hiyo. Unasoma roughly kwanza then unarudia kwa makini huku ukisamaraizi then unachungulia maswali ukiona huchomoi rudia tena.
 
b5-click

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
2,087
2,000
Tunatofautiana Vichwa/Uwezo..

Tambua wakati ambao kichwa chako kinakua ready kusoma, kuelewa na kupokea vitu vipya, pia tambua wakati kichwa kinahitaji kufanya marudio/revision na tambua muda ambao kichwa kinataka upumzike.

Mimi maisha yangu ya kusoma yalikua magumu kwa sababu ya tabia ya ulevi, Ila nilikua na-time asubuhi sana nikiwa sijaweka pombe kichwani, SAA kumi na moja asubuhi, naamka nakula push ups kadhaa then nabwia maji afu naanza kutia msuli.

Njia nzuri ya kusoma ni kupitia mada husika bila peni wala karatasi. Afu kesho jaribu kuandika ulichokisoma.. Ukiona hukumbuki jua hukuelewa na huna kumbukumbu, rudia tena wakati/Mara hii ukiwa na peni na karatasi ili kuandika point za msingi tu na sio maelezo yote.

Kaza buti janja, utatoboa tu. Kusali muhimu pia.
 
Ze Heby

JF-Expert Member
Jun 22, 2011
4,596
2,000
Shule zikisha fungwa Bhana hizi mada ndo zinaibuka.... Any way masomo ya sayans you claim then you understand ....mengine ni kutiana moyo tuu.... Much repeatation la sivyo pcb utaiona ngumu kama n kichwa cha panz....haijawah kumwacha mtu salama

Ha ha ha unajua neno kukariri kwa kingereza huwa ni tatizo kwa wengi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom