Recent content by sinachangu

  1. sinachangu

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje? ukimuhitaji hakuhitaji na usipomuhitaji anakuhitaji

    Pole sana ndugu.Hayo ni majaribu na yanamwisho wake.Muhimu muombe sana Mungu kwa imani yako utafanikiwa.Wakwako uliyeandaliwa yupo ila muda haujafika.
  2. sinachangu

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Chuo afariki katika mazingira tata!

    R.I.P Neema
  3. sinachangu

    JamiiForums Tanzania Madhara ya Kutoshiriki Tendo la Ndoa kwa Muda Mrefu

    Uko sawa kabisa. Kuna vitabia mpaka mwenyewe sijui nimevitoa wapo. Kudakia mada za watu ndio kabisa. Ila hilo la kusahau sahau kwangu halipo. Ya kuingiliwa kirahisi na jini mahaba limenishtua mno!!!
  4. sinachangu

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani! Yamenifika

    Hapo inapendwa pesa yako.
  5. sinachangu

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ni kozi gani VETA inamfaa binti ili ajiajiri

    Kwa veta kozi kama ya ushonaji, mapishi au hair dressing and beauty zitamfaa kwa kujiajiri.
  6. sinachangu

    JamiiForums Tanzania Asante Mungu na Jamiiforums member utumishi wameniona

    All the best Mkuu.
  7. sinachangu

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya Kujenga au kununua nyumba

    Bora kujenga mwenyewe but kuwa makini na usimamie mwenyewe. Ukimuachia mtu asimamie utashangaa mwisho wa siku nyumba yako inakamilika na ya msimamizi wako nayo inakamilika teh teh.
  8. sinachangu

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini na utapeli huu

    Asante kwa taarifa. Lakini matapeli sometimes hawafikirii sana. kama mtu ameshinda 1 milion, si anawaambia hiyo hela wanayotaka watumiwe wakate kwenye hiyo milion aliyoshinda. Then inayobaki wakutumie mshindi.
  9. sinachangu

    JamiiForums Tanzania Sheikh wa wilaya ya Mbeya afa ghafla makaburini baada ya kutoa mawaidha mazishini

    Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali panapostahili. Amin
  10. sinachangu

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha fenesi, changamoto na jinsi ya kukabiliana nazo

    Zile mbegu zinachomwa.Then unatoa ganda unakula mbegu ya ndani
  11. sinachangu

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha fenesi, changamoto na jinsi ya kukabiliana nazo

    umenikumbusha rafiki yangu wa Bukoba. Alishangaa kuona watu wa Dar wanakula matembele wakati kwao wanawapa ng`ombe. Lakini baadae alianza kula matembele.
  12. sinachangu

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha fenesi, changamoto na jinsi ya kukabiliana nazo

    Siyo dalili ya njaa. kuna usemi kwamba tesource kwako inaweza isiwe resource kwangu. Ndio kama hivyo kuna jamii zinginea zinakula mbegu za fenesi na kuna jamii nyingine hawajui hata kama zinaliwa. Kuna some factors zinazofanya kitofautiana kwa resource kati ya jamii moja hadi nyingine.
  13. sinachangu

    JamiiForums Tanzania Kifua kinabana,nimetumia dawa lakini wapi

    Pole, Nenda hospitali mkuu. Kama kifua kinakubana na unapumua kwa shida isije kuwa una pumu au ni dalili ya ugonjwa meimgine.
  14. sinachangu

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha fenesi, changamoto na jinsi ya kukabiliana nazo

    Mbegu zake waweza zichoma. Ni tamu sana.
  15. sinachangu

    JamiiForums Tanzania Kuchagua kazi hali huna kazi

    sema wewe.
Back
Top Bottom