Madhara ya Kutoshiriki Tendo la Ndoa kwa Muda Mrefu

Madhara ya Kutoshiriki Tendo la Ndoa kwa Muda Mrefu

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,077
Reaction score
34,848
attachment.php




Aise, kwa kawaida kama wewe si mgonjwa wa aina yoyote ile, kwa maana ya ugonjwa ku-offset system ya mwili.

Madhara ya kutofanya tendo la ndoa kwa muda mrefu ni makubwa kuliko unavyofikiria as long as upo ktk active range of age! madhara yapo ya Negative na positive.

Mfumo wa fahamu (central nervous system) hutumia zaidi tendo la ndoa ku-radiate energy inayowezesha ubongo pamoja na mifumo mingine ya mwili kufanya kazi zake vizuri bila msongo.

Suala hapa si lazima uke na uume kukutana na kuingiliana (penetration) ila tu stimulation (msisimko) inayofikisha mtu kileleni (orgasms).

Kwahiyo, nature(asili) inataka mke na mme kufanikisha zoezi hili maana ni jambo muhimu kama ilivyo kutoka jasho mwilini maana sio tu mwili unaondoa uchafu ndani lakini pia inacontrol joto la mwili (cooling effect).

Anayesema amekaa zaidi ya mwaka na hana madhara.., well sikatai wala sikubali maana hatuna ushahidi nalo lakini zipo njia nyingi mbadala kama kutumia sex toys, dildo(vibrant artificial penis zitumiazo umeme), usagaji n.k. sasa sijui yeye anatumia ipi sababu vichocheo anavyo mwilini and, it's brain iniciated.

Ukidumu bila tendo la ndoa muda mrefu, baadhi ya madhara madogomadogo ni kama haya:

- Hasira za mara kwa mara ktk mambo madogo

- Kupendelea sana kuangalia picha za uchi

- Kusahausahau

- Kupendelea story za mapenzi,

- Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke)

- Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu),

- Kuumwa na kichwa

- Kukakamaa mgongo (wanaume)

- Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba katika usingizini wakati unapolala.

- Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency)

- Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno

Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala kama ulevi n.k.
 
Duuh im in truoble, jana bwana nimeangalia movie inaitwa "Sex after kids" imenigusa sana nilidhani labda ni kwangu tu na huwa ni wanawake wa kabila moja huko kilima kyaroo
 
Uko sawa kabisa.

Kuna vitabia mpaka mwenyewe sijui nimevitoa wapo. Kudakia mada za watu ndio kabisa. Ila hilo la kusahau sahau kwangu halipo.

Ya kuingiliwa kirahisi na jini mahaba limenishtua mno!!!
 
Nina mwez wa nne sasa sijafanya, ila hasira na hiyo kupoteza umakn naona kama vinanijiaga hivi…!!!!

je punyeto haifai?
Tembelea hizi Thread Uone Madhara ya kupiga Punyeto.

Topic: USHUHUDA: Nilivyoathiriwa na upigaji punyeto


Topic: Madhara 6 ya kupiga punyeto kwa wanaume

Topic: MADHARA YA KUPIGA PUNYETO (MASTRUBATION) Je Kuna Faida au Hasara ya Kupiga Punyeto?

Topic: Madhara ya punyeto kwa jinsia KE

Topic: NINI FAIDA NA MADHARA YA MASTERBERTION(Kupiga puli)


Topic: Punyeto: Nini madhara yake?
 
Back
Top Bottom