Asante Mungu na Jamiiforums member utumishi wameniona

fedawa

Member
Dec 16, 2014
40
7
jaman namshukuru mungu kwa kunipatia kazi mana nimezunguka sana dah!jamani msikate tamaa mungu ndiye muweza wa yote ukimtegemea hakuachi.
 
jaman namshukuru mungu kwa kunipatia kazi mana nimezunguka sana dah!jamani msikate tamaa mungu ndiye muweza wa yote ukimtegemea hakuachi.

umepata ofisi gani ili tujue kuna mwana jf wa kutusaidia huko
 
Hongera Sana Chief
Mungu Akubariki Uwe Na Afya Njema ,Utimize Malengo Juu Ya Familia Na Nchi Yako
watafuta Kazi Wengi Humuweka Mungu Mbele Ila Wakishapata Kazi, mahusiano Na Mungu Wao Yanakuwa Tofauti!
Ahsante Jigo
 
nashukuru sana members jaman kwa ushirikiano wenu hatimae nimepata kaz.jaman msikate tamaa mtegemeen mungu hawezi kuwaacha hata siku moja.

Hongera sana mkuu,na pole kwa maumivu ya kukosa ajira,
sasa weka mipango yako vizuri,na fanya kazi kwa bidii,

"Umetaka kazi, Umepata Kazi, Usione KAZI,Kufanya Kazi'
 
nashukuru sana members jaman kwa ushirikiano wenu hatimae nimepata kaz.jaman msikate tamaa mtegemeen mungu hawezi kuwaacha hata siku moja.

Mkuu Hongera sana Mtangulize MUNGU katika kila kitu
 
jaman namshukuru mungu kwa kunipatia kazi mana nimezunguka sana dah!jamani msikate tamaa mungu ndiye muweza wa yote ukimtegemea hakuachi.
kuna post mpya zimetoka! au zile za november 20 ndio unakuja kushuhudia leo? au umehakikishiwa na waliokufanyia usahili juzi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom