Hii imekaaje? ukimuhitaji hakuhitaji na usipomuhitaji anakuhitaji

Unadhani kila mtu ni mgalatia??
ثسففييءث اللسءشتهىي اتتؤيليء اؤيؤنني لباخاختيقهر اتهيينه فبهخنبش نتتبغ.

Excuse me huo mcharazo hapo
 
Ilishawahi kunitokea hicho kitu ila I believe kama mtu ulikuwa unamuhitaji hautaweza kumuacha aumie hata kama mwanzo alikusumbua
 
Umenigusa mkuu. Mimi nina 27 yrs nilikuwa natoka na mkaka mmoja ofisini,anakuja kwangu analala na mimi hivyohivyo kwake. Amesubiri nimeenda likizo akamuengage his long time girlfriend bila mimi kijua,nilosema ngoja nimchungulie insta ndo nakutana na mapicha. Aysee nimeumia mnoo nimekata tamaa kwani naona umri ushaenda, nanilikuwa namtegemea tuane. Naumia mno kola nikimuona mbaya zaidi yupe naye ofisi moja. Nimetoka likizo kaja kwangu kaniongelesha wee na sababu zisizoeleweka nikajikuta nafanya nae tena mapenz, naomba mnisaidie jinsi yakujitoa jamni. Kwani nashindwa kumove on,wakati tayati yeye amechumbia.

you are too easy to be cheated na suala la ngono kwako si tunu, ndiyo maana umemvulia japo kakutosa. Naye amekukimbia kwa sababu amekuona you are too easy akikuoa unaweza kuwa unagawa nje....build your own foundation of life by being firm. Don't expect someone else to build it for you.
 
Achana naye!!Akafie mbele,utamsahau tu!!mwavhe acheze michezo yake!
 
Sa unanishaurije? Ushauri wako ni muhimu sana kwangu.

Unatakiwa usitishe uhusiano naye. Sio rahisi sana ila naamini utaweza tu. Usianzishe uhusiano mpya kwa sasa, jipange. Wanawake mnapenda kuanzisha uhusiano mpya ghafla kisa wa mwanzo umeyumba. Hapo ndipo mnapokesea

Ukishatulia na huyu kumsahau, mengine yatakuja automatically.
 
Kwakuwa ulishaamua kumsamehe na kumvulia nguo tena, huna ujanja. Ni bora uendelee kujifanya mjinga tu kwake labda u can win him back to u akatengua uchumba wa awali! Tatizo nyie madem wazuriwazur hamnaga msimamo ndomaana tunakosaga imani juu yenu japo tunawapenda kweli, tunaogopa kutendwa! Thats why tunawachumbia wanaotufeel mpaka wanaumwa! Ninyi mnadanganyika na miluzi mingi mpaka mnasahau 'mchagua nazi.....'!
 
Umenigusa mkuu. Mimi nina 27 yrs nilikuwa natoka na mkaka mmoja ofisini,anakuja kwangu analala na mimi hivyohivyo kwake. Amesubiri nimeenda likizo akamuengage his long time girlfriend bila mimi kijua,nilosema ngoja nimchungulie insta ndo nakutana na mapicha. Aysee nimeumia mnoo nimekata tamaa kwani naona umri ushaenda, nanilikuwa namtegemea tuane. Naumia mno kola nikimuona mbaya zaidi yupe naye ofisi moja. Nimetoka likizo kaja kwangu kaniongelesha wee na sababu zisizoeleweka nikajikuta nafanya nae tena mapenz, naomba mnisaidie jinsi yakujitoa jamni. Kwani nashindwa kumove on,wakati tayati yeye amechumbia.
usikatee tamaa amin yupo aliye wa kwako,kosa kubwa n kukubal ku ngonoka nae tena,kikubwa n msimamo tu.mm wakwangu nlikaa nae miaka 5 alniacha bila 7b lakin nlisema sitommbembeleza nlmuacha akaenda,aljua tukiachana ntachuja ndo kwanza mwaka umekatika nazid kunawir na v hips vimetoka,saiv anarud kwa gia ya mama amesema....lakin wote na mama yake nmewaambia huyo hana nafas tena kwangu,kikubwa n msimamo tu usikubal akutumie tena ukiwa unajua anakutumia
 
Kama unaweza kumpotezea huyo mkaka mpotezee tu
We kuwa mpole tu ila usiruhusu mazingira ya peke yenu tena ,we jichanganye tu na washikaji wako atakuja tu.
 
Asante wangu. Yani sina amani,nimejifunza kitu kikubwa sana kwe maisha. Imagine ninakazi nzuri tu kwe sector nzuri, kwani nilibahatika kupata kazi mqpema tu baada ya kumaliza chuo, yani kwa matazamo wa nnje mtu akiniona atasema mmh huyu dada hana shida kabisa, kumbe mmh nikifika nyumbani kwangu ni kulia tuuu,ninalala saa chache mno,pakikucha najiandaa naenda ofisini hakina mtu anayejua,tatizo ni lazma nimuone ofisini yeye anacheka anafurahi ila mimi moyoni natamani kufa. Daah maisha hayaa. Sina hamu. Nilitaka kwenda kwetu kwajili ya sikukuu ila nimepungua mnoo nahofia nikienda maswali yatakuwa mengi. Maisha ni zaidi ya tunavyofikiria watu wengi.

Pole sana ndugu.Hayo ni majaribu na yanamwisho wake.Muhimu muombe sana Mungu kwa imani yako utafanikiwa.Wakwako uliyeandaliwa yupo ila muda haujafika.
 
Jamani nakuoneaje hurumaaa, kwanini
Unaendelea naye wakati ana mtu, mbona unajirahisisha sana tena sanaaa, huna thamani jamani weee dada acha ujinga huo..achana naye jiweke busy tena una ela toka out kila siku, nenda movie, nenda baa za kistaarabu kula msosi kunywa ukifika home umejichokea unaoga unalala, job ukimuona usimshobokeee hata chembe muone wa kawaida sana salam tuu full stop stor stor usiruhusu. ..cm usipokee message usimjibu dadex kuwa kauzu. .soon utarecover ...umri bado sana mwanamke mbichi kabisa wewe. ..alafu utakayempata usimshobokee sana
.kwani unamuomba hela kuwa na msimamo jiweke vizur vizur utavutia mpaka vizeee we jishaue na vimawazo utakonda na kukongorokakama jini
 
Umenigusa mkuu. Mimi nina 27 yrs nilikuwa natoka na mkaka mmoja ofisini,anakuja kwangu analala na mimi hivyohivyo kwake. Amesubiri nimeenda likizo akamuengage his long time girlfriend bila mimi kijua,nilosema ngoja nimchungulie insta ndo nakutana na mapicha. Aysee nimeumia mnoo nimekata tamaa kwani naona umri ushaenda, nanilikuwa namtegemea tuane. Naumia mno kola nikimuona mbaya zaidi yupe naye ofisi moja. Nimetoka likizo kaja kwangu kaniongelesha wee na sababu zisizoeleweka nikajikuta nafanya nae tena mapenz, naomba mnisaidie jinsi yakujitoa jamni. Kwani nashindwa kumove on,wakati tayati yeye amechumbia.

Aisee had nmekuonea huruma...
Nngekuwa na uwezo nngekuja. Nikuwowe!..

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Umenigusa mkuu. Mimi nina 27 yrs nilikuwa natoka na mkaka mmoja ofisini,anakuja kwangu analala na mimi hivyohivyo kwake. Amesubiri nimeenda likizo akamuengage his long time girlfriend bila mimi kijua,nilosema ngoja nimchungulie insta ndo nakutana na mapicha. Aysee nimeumia mnoo nimekata tamaa kwani naona umri ushaenda, nanilikuwa namtegemea tuane. Naumia mno kola nikimuona mbaya zaidi yupe naye ofisi moja. Nimetoka likizo kaja kwangu kaniongelesha wee na sababu zisizoeleweka nikajikuta nafanya nae tena mapenz, naomba mnisaidie jinsi yakujitoa jamni. Kwani nashindwa kumove on,wakati tayati yeye amechumbia.

Pole sana my dear, I know how you feel but nakusihi Usimpe tena nafasi huyo mtu kwani we ni kiburudisho tu kwake, tambua kuwa hana mapenzi kabisa na wewe....
Chakufanya Kuanzia sasa kuwa bize na Mambo yako, acha mazoea nae (iwe ni salamu tu na kazi wala usiwepo ukaribu mwingine wowote) jitahidi kufanya vitu vile unavyovipenda sana na kuepuka vile mlivyokuwa mkivifanya mkiwa pamoja, hii itakusaidia kusahau kwa haraka... jitahidi kukumbuka mabaya aliyowahi kukutendea na kusahau mazur yake, epuka kukaa pekeako kwa mda mrefu..
Wewe ni binti mdogo sana my dia amini utampata atakayeiona thamani yako, but usijiingize katika mahusiano kwa sasa
 
Hata mimi nihivyo nikitongoza mwanamke anakataa ila nikikata mawasiliano anajiludi namimi nakua simpendi tena yaani nishajiuliza ni mapepo au?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Asante wangu. Yani sina amani,nimejifunza kitu kikubwa sana kwe maisha. Imagine ninakazi nzuri tu kwe sector nzuri, kwani nilibahatika kupata kazi mqpema tu baada ya kumaliza chuo, yani kwa matazamo wa nnje mtu akiniona atasema mmh huyu dada hana shida kabisa, kumbe mmh nikifika nyumbani kwangu ni kulia tuuu,ninalala saa chache mno,pakikucha najiandaa naenda ofisini hakina mtu anayejua,tatizo ni lazma nimuone ofisini yeye anacheka anafurahi ila mimi moyoni natamani kufa. Daah maisha hayaa. Sina hamu. Nilitaka kwenda kwetu kwajili ya sikukuu ila nimepungua mnoo nahofia nikienda maswali yatakuwa mengi. Maisha ni zaidi ya tunavyofikiria watu wengi.
Pole sana dada, madhara ya kuwa na mahusiano workmate ni haya. Pole tena sijui hata nikwambieje?
 
Back
Top Bottom