Kipi bora kati ya Kujenga au kununua nyumba

Kipi bora kati ya Kujenga au kununua nyumba

Jenga mkuu,utajenga kwa ramani uitakayo na gharama zitakuwa nafuu kuliko kununua..
 
mbona wahindi hawajengi wala hawanunui nyumba ila wao ndiyo matajiri wetu hapa tz?
 
Mie nakushauri kama una utaalamu wa kujenga,jenga tena simamia mwrnyewe.....ukimweka mtu kusimamia kuna uwezekano aka mishandle cash....so kama huna utaalamu.nunua tu my dia....atleast unaridhika na standards za hio nyumba unayotaka kununua......kama huna uhakika tafuta mtu anayejua majengo uende nae akague kabla ya kufanya manunuzi.
 
inategemea hiyo nyumba iko mazingira gani na we unataka ya aina ipi?$
 
We jenga tu mkuu kama una hela, unachagua ramani unayoitaka eneo unalolitaka na finishing uitakayo.
 
Bora kujenga mwenyewe but kuwa makini na usimamie mwenyewe. Ukimuachia mtu asimamie utashangaa mwisho wa siku nyumba yako inakamilika na ya msimamizi wako nayo inakamilika teh teh.
 
Nunua mkuu. Kusimamia ujenzi mpaka ukamilike kazi sana
 
Back
Top Bottom