Recent content by Simple F

  1. Simple F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilivyonusurika kuuawa na aliyekuwa mke wangu kutoka kanda ya ziwa

    Inashangaza unatoa tuhuma nzito bila ushahidi na Kanda ipi inafaa nasi tukushauri?
  2. Simple F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Orodha ya vitu kadhaa ambavyo Wewe Mwanaume Mkeo hapaswi kujua kabisa kuhusu Wewe

    Mbona hii kesi haina uhusiano na uliyoyataja juu kwa akili zako timamu unaoa halafu unamtambishia Mkeo michepuko na mademu halafu unataka kisinuke? Achekelee tu kwa Habari kama hizo na unahitimisha kwamba ufiche taarifa muhimu kwenye Familia kwa kesi kama hii?
  3. Simple F

    JamiiForums Tanzania Nipe uzoefu wako kuhusu Songea/Ruvuma

    Ipo Songea pazuri - Mfaranyaki, Virginia-Mararawe na Triple 7 -Msamala hivyo viwanja vya Bata mengine aseme anataka nini aelekezwe
  4. Simple F

    JamiiForums Tanzania Ni mchanganyiko gani wa vyakula wa ajabu ambao umewahi kuujaribu?

    Tembea uone nyama na samaki vinachanganywa sehemu moja kwenye kupika
  5. Simple F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mzee hii code nimeichukua
  6. Simple F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Njema tu Kuna jipya?
  7. Simple F

    JamiiForums Tanzania Subaru Forester & Mitsubishi Outlander nichukue ipi?

    Okay tusubr approval
  8. Simple F

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Yanga: Wachezaji wangu hawana fitness ya kucheza dakika 90

    Mbona kama hawana fitness hafanyi sub kuwasadia?
  9. Simple F

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Jamaa wa x ndiye amesababisha hadi muendelezo uwe unachelewa ili kwenye channel yake ukosekane
  10. Simple F

    JamiiForums Tanzania Leo nawataka wauza/wavaa tisheti kali tu

    Ungenishtua mapema nibebe mzigo huo ngoja tufanye namna
  11. Simple F

    JamiiForums Tanzania Kafara ya imegoma tena. Ni huzuni kubwa

    Kwani mganga ni mmoja?
  12. Simple F

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Nasubiri na mimi ujumbe wangu
  13. Simple F

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

  14. Simple F

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Alipokuwa anafanyia kazi na kuishi waliohusika na kazi alipewa mtu aitwae Kelvin kwa kushirikiana na Valens na wengine ambao sijawatambua kumhoji mpaka leo kimya ndugu yetu hajjlikani
Back
Top Bottom