Subaru Forester & Mitsubishi Outlander nichukue ipi?

Subaru Forester & Mitsubishi Outlander nichukue ipi?

Outlander hii.
IMG-20250404-WA0033.jpg
 
Chukua outlander utanishukuru baadae ukiishainunua leta namba uunganishwe kwenye group la wamiliki wa outlander tz utaenjoi sana
Mkuu maelezo kidogo kwenye outlander hapo. Hii chuma ninaiwazia sana. Kwanza kwa sasa inasoma Tshs. ngp?
 
Natumia outlander kwangu mimi tatizo ililo nalo haichanganyi upesi kama wewe ni mtu wa mbio nenda kwa subaru. Ila mantainance outla! Der vitu vyake ni cheap
 
Back
Top Bottom