Recent content by Simon B james

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nape: Sikuwahi sema kuwa Mafisadi wataondolewa CCM baada ya siku 90

    Nape bado hajitambui. Kama kweli amedhamiria kuvua gamba ili kusafisha Chama mbona bado hajawapa Rostam azz, lowasa na chenge barua? Nimegundua Nape ametumwa kucheza mchezo asio uweza
  2. S

    JamiiForums Tanzania NGELEJA ulilolianzinsha na KAKOBE ndo unalimalizia sasa

    Laana ya kupitisha umeme kanisa ya kakobe kama ni ya kweli imtafune vizuri ngeleja hadi ajiuzulu kwani tumemchoka. Wauza barafu, vinyoz sasa tabu aupu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mathayo na Ana Kilango: Same "Wachina" wa Tanzania mpaka "VILAZA" wa Kilimanjaro

    Kamanda ni kweli! Wabunge hawa wamekuwa zaidi ya vilaza. Hasa matayo. Chamsingi tuandae mikakati ya kuwatoa vilaza hawa madarakani 2015
  4. S

    JamiiForums Tanzania JK: Mafisadi hatutawaonea haya

    Yeye mwenyewe ametajwa kwenye orodha ya mafisadi basi aanze kujitendea haki yeye la sivyo anadanganya wajinga. Ama kweli wajinga ndo waliwao jwani huyu Kikwete si ndiye aliwa safisha mafisadi wakati wa uchaguzi
  5. S

    JamiiForums Tanzania Lema awasha moto tena chuo cha uhasibu

    The only thing to fear is fear it self"
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya Umeneja

    Dola 3000
  7. S

    JamiiForums Tanzania Laana ya Baba wa Taifa yawatesa J. Kikwete, E. Lowasa na J. Malechela

    Duuh nimekubali ujumbe wako. Kweli nape anacheza ngoma asiyo ifahamu. KIKWETE KAMwe hasafishiki. Kwa heri marehemu Ccm
  8. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta ukweli wa CCM niupate uongo wa Dk Slaa

    Hebu fikiri. Kama kweli taarifa za Dk slaa zingekuwa za uongo sasa hvi Kiwete siangetumia madaraka kumswaga jela? Wangapi waliswagwa ndani kwa kosa hata la mke? Unamjua Babu sea? Nini kilicho mswaga ndani. Naomba nikutoe shaka Slaa ni mtafiti na msomi hawezi kukurupuka. Achana na degrii za...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kikwete adai tatizo ni ujamaa!

    Leo ndo Kikwete anatambua kuwa kuna ujamaa? Alikuwa wapi tangu 2006 alipo ruhusu swahiba wake apitishe Richmond. Amakweli kakurupukia blanket wakati kumekucha. Lazima kieleweke. Koo 7 haziwezi kuburuza watu milion 42
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hii ya kuvua magamba ni kali!!!!!!

    Nani kawadanganya kuwa kuvua gamba ni kupona? Amakweli Ccm wamedoda hawajui sumu imeathiri mfumo wadamu na hivyo kuvua gamba sikitu. Waoneeni huruma izraeli amewakaribia ndio maana wanatapatapa. Let them die wametufanya ombaomba wa neti kwa bush
  11. S

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Issues an Official Responce to CCM allegations: (Press Release)

    Eti wamevua gamba. Hivi nani kawadanganya kuwa kuvua gamba kunatoa sumu mwilini? Au nani kawambia mgogod ukitolewa gamba unakua kiazi.? Ama kweli Kikwete hana jipya hajui kavua gamba ila Sumu inamtafuna Kufa lazima afe
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hizi ni sehemu ya sababu za CCM kuendelea kukataliwa na Watanzania

    Tafuta gazeti la mwanahalisi wiki hii tar 20 april to 25 utaona Kikwete anavyo nuka ufisadi. Mambo yote yameanikwa hadharani na mafisadi yote list ya kwanza ili iliyo tolewa mwaka 2007 tar 15 september ipo na majina mapya yapo akiwemo Msekwa na magufuli.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kujivua gamba na tawi jipya la CCM New York City, USA

    Pole mawazo yako marefu yana onyesha you are about 2 pasr away. Inaonyesha unadhan kwakua mtoto wa fulani unaweza ukapata nafasi kirahisa hasa kwa kuwa mwana chama wa chama cha ufisadi ambacho kilikukuza, ulivaa nepi za ufisadi. Soma alama za nyakati akili yako ikusaidie sio kutegemea cha baba...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kujivua gamba na tawi jipya la CCM New York City, USA

    Ninyi msiojitambua mnaofungua tawi la Ccm huko. Takwimu zinanionyesha kuwa mlifeli wajomba zenu wakawa beba huko pamoja na kuwa na mijikarai. Ndio maana mnadhani mkiwa Ccm wajomba zenu watawapa ajira. Khe he he he! Jidanganyeni Peoples power itawaumbua. CHADEMA JUUU
Back
Top Bottom