Lema awasha moto tena chuo cha uhasibu

Lema awasha moto tena chuo cha uhasibu

woooooote hao ni wasanii tu hakuna Lema wala kilema wala chadema, wenye uchungu na nchii hawajazaliwa bado, ipo cku mtagungua ukweli ni upi.. PUMBAAAAAAAVUUUUUUU!!
 
woooooote hao ni wasanii tu hakuna Lema wala kilema wala chadema, wenye uchungu na nchii hawajazaliwa bado, ipo cku mtagungua ukweli ni upi.. PUMBAAAAAAAVUUUUUUU!!
Huna haja ya kutukana wewe toa hoja yako utasikika nyie ndio mnaoiangusha CCM humu JF kwa kujifanya mnaipenda kuliko kumbe mnafanya wengine waichukie.
 
damper heri kuwa mfu kuliko kuwa mtumwa wa fikra, wewe ni mtumwa wa fikra, kazi ya chadema inaonekana inavyoleta kiwewe ndani ya chama cha mafisadi kwa manufaaa, kazi nzuri lema big up songambele mkuuuu LEma
 
Lema ni jasiri sana! ninachompendea hua hana woga wa anachokifanya!big up lema!
 
woooooote hao ni wasanii tu hakuna Lema wala kilema wala chadema, wenye uchungu na nchii hawajazaliwa bado, ipo cku mtagungua ukweli ni upi.. PUMBAAAAAAAVUUUUUUU!!

siyo lazima uvue nguo uonekane chizi wala siyo lazima uongee mwenyewe barabarani ukaonekana mwenza wazimu unaweza ukawa na ufahamu wa kuingia kwenye mitandao lakini mwisho wasiku ukawa chizi fresh bila kujijua,

sema hivi watakao ivua ccm magamba hawajazaliwa
 
That is a dream of a politically blind person.
We can't allow a former criminal to be our president.
Never in this lovely country of ours...PERIOD!

Hii inaonyesha ni kwa kiasi gani wana Chama Cha Magamba msivyoijua sheria.Ndio maana viongozi wenu wanakurupuka kwa maamuzi bila kujua matokeo ya maamuzi yao...Kwa uelewa wangu mdogo tu wa sheria za Tanzania only coart can prove a person to be a criminal, tunaomba utuambie ni mahakama gani iliyosema kwamba Lema ni criminal..otherwise nenda shule kwanza ukasome kabla ya kukurupuka kama wanaoiongoza nchi hii.
 
Mjinga huropoka hovyo hovyo tofauti na mwerevu yeye hutafakari kwanza kabla ya kunena ....mimi naogopa kukuita mjinga japo kioo cha akili yako kinaonesha wewe u-mjinga!!kama unabisha nitafute baadae
 
That iz FACT. SISI WENGINE WITH OUR LIMITED PLATFORM WE ARE TRYING ACCORDING TO OUR CAPACITIES! KAWA HAWA 50 MPS KILA MMOJA AKIPITA WILAYA 3 KUTOKA MIKOA AMBAYO NI PRO CCM THAT MEANS 100 DISTRICTS AND MORE VILLAGES AND THRU THIS SORT OF SNOW BALL COME 2013 EVERY1 WILL HEAR THE TRUTH ABOUT OUR PROBLEM AS A NATION!
Natamani wabunge wote wa chama changu wangekuwa wachapakazi kama Lema.
 
That iz FACT. SISI WENGINE WITH OUR LIMITED PLATFORM WE ARE TRYING ACCORDING TO OUR CAPACITIES! KAWA HAWA 50 MPS KILA MMOJA AKIPITA WILAYA 2 KUTOKA MIKOA AMBAYO NI PRO CCM THAT MEANS 100 DISTRICTS AND MORE VILLAGES AND THRU THIS SORT OF SNOW BALL COME 2013 EVERY1 WILL HEAR THE TRUTH ABOUT OUR PROBLEM AS A NATION!
Natamani wabunge wote wa chama changu wangekuwa wachapakazi kama Lema.
 
aisee we chali unaona mbali sana uliyoyasema hapa ni ukweli mtupu, viongozi wa chadema wanaoingia humo jf msipuuzie haya maneno yanayosemwa humu, wabunge waache pozi wamsaidie lema na slaa ilichama kiendelee kuwa tumaini la watanzania

big up lema
LEMA IS MY PRESIDENT IN 2020.

That is a dream of a politically blind person.
We can't allow a former criminal to be our president.
Never in this lovely country of ours...PERIOD!
Namfahamu G. Lema bado mchanga kisiasa lakini anakuja vizuri lakini si kwa kuja kuwa rais wa JMT. Huo ndiyo ukweli.
 
Rais wa Jamhuri ya Tanganyika Mheshimiwa Godbless Lema..Naipenda hii nchi.
 
woooooote hao ni wasanii tu hakuna Lema wala kilema wala chadema, wenye uchungu na nchii hawajazaliwa bado, ipo cku mtagungua ukweli ni upi.. PUMBAAAAAAAVUUUUUUU!!
Wenye uchungu ni chama cha magamba? Wacha urongo wewe, wenye uchungu na nchi wapo lakini system haiwataki, sikulazimishi kuamini hilo.
 
Hongera sana Kamanda Godbless Lema na ongeza kasi kuikomboa nchi hii....na wabunge wengi wa CDM naomba muongeze juhudi kuhamasisha ili ifikapo 2015...kazi iwe rahisi kama kumsukuma mlevi, ukizingatia na chama ha Magamba kina weweseka.....

Ngoja nisikilize ujumbe kwanza

Mkuu upo juu sana nashukuru kwa kupost vitu vya ukweli sana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom