Hii ya kuvua magamba ni kali!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ya kuvua magamba ni kali!!!!!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by shiumiti, Apr 21, 2011.

 1. shiumiti

  shiumiti JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2011
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nimekutana na hii kitu katika pitapita ya hapa na pale.....KWELI INACHEKESHA KWA WENZETU THITHIEM!!!!!!
   

  Attached Files:

 2. MANI

  MANI Platinum Member

  #2
  Apr 23, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Kila siku tunapiga kelele kuhusu elimu tunaonekana wanafiki sasa hili bango limelipiwa na chama tawala Iringa hivi hakuna mtu wa ku edit hayo mabango?
   
 3. wapalepale

  wapalepale JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 33
  nadhani hilo neneo la juu lina kiswahili chake cha kutoholewa kwa nini wasingetumia au walitaka na wao waonekane wajua kithungu???!!!!!!!!!!
   
 4. jockey emmanuel

  jockey emmanuel JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 330
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hii kali....
   
 5. Fred Katulanda

  Fred Katulanda Verified User

  #5
  Apr 23, 2011
  Joined: Apr 1, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  IMG_6154.JPG
  Hapa ni Chiligati na Nape wakiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa CCm mkoa wa iringa na Bango lao la Vua magamba.
   
 6. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  wamependeza!
   
 7. S

  Simon B james Member

  #7
  Apr 23, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nani kawadanganya kuwa kuvua gamba ni kupona? Amakweli Ccm wamedoda hawajui sumu imeathiri mfumo wadamu na hivyo kuvua gamba sikitu. Waoneeni huruma izraeli amewakaribia ndio maana wanatapatapa. Let them die wametufanya ombaomba wa neti kwa bush
   
 8. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Gamba mchezo ni lazima ulivue tu.
   
 9. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  Hapa hakuna gamba lililobaki kweli?
   
 10. L

  Leornado JF-Expert Member

  #10
  Apr 24, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  hahahahaaaaa uuuuwiiii its sooo funny.

  Bora wangeandika HARAKATI ZA KUVUA MAGAMBA....all ths best lakini kumbuka sumu haipo kwenye gamba bali ndani ya nyoka.:rant:
   
 11. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #11
  Apr 24, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  Watoto wa sekondari hao ndiyo waliyoandika!nakuambia darasa la 4 la mkoloni ni sawa na form 6 wa leo!
   
 12. n

  nyuki dume JF-Expert Member

  #12
  Apr 24, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 438
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Naamini gamba hua linaota baada ya kipindi fulani ina maana hili litakapokuwa linaota watakuwa wanalivua kila likiota (kama nyoka ama mjusi)
   
 13. Engager

  Engager JF-Expert Member

  #13
  Apr 24, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Sijaelewa kitu.
   
 14. Esperance

  Esperance JF-Expert Member

  #14
  Apr 25, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani kwani FEBRUARY yuko wapi si angewatumia hata kwenye sms wacopy???
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Apr 25, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Dada wa kulia ana Kisambusa kizuri! Mmmmmhh
   
 16. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #16
  Apr 25, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mkuu..khaaa, hujasoma bango bheye!!.
  Operation Vua Magamba.....kumbe bado hawajavua ndo wapo kwenye operesheni??
   
 17. h

  hamenya Member

  #17
  Apr 25, 2011
  Joined: Dec 7, 2010
  Messages: 38
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  jibu la uozo huu ni kuchukua wabunge 3o wa cdm and 30 wa ccm kisha wape interview ya issue yeyote ya kijamii...utapata jibu kwanini mabango yanakuwa hivyo.
   
 18. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #18
  Apr 25, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Sijui jamaa kaandika kiingereza au kiswahili. Kazi tunayo bado!
   
 19. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #19
  Apr 25, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nape kavaa cheni shingoni na mkononi...:A S 41:
   
 20. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #20
  Apr 25, 2011
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hii ni lugha za watu
   
Loading...