Nafasi ya kazi ya Umeneja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi ya kazi ya Umeneja

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by beko, Apr 15, 2011.

 1. b

  beko Senior Member

  #1
  Apr 15, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Natafuta meneja wa kusimamia mradi wa kusaga, kukoboa,kupack na kuuza nafaka. Anatakiwa awe na uzoefu walao wa miaka miwili katika kazi hiyo hapa Dar es salaam. Awe na elimu walao ya kidato cha nne. tuma maombi box 79989 Dar es Salaam piga simu 0714432979 ​
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Jamani changamkeni ajira hiyo.
  Sio ooh kazi hakuna wanapeana wenyewe mshindwe wenyewe hapa.
   
 3. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Malipo yakoje au ndio 'attractive package to the right candidate' ?
   
 4. b

  beko Senior Member

  #4
  Apr 15, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  mshahara utakuwa mzuri, na pia kutakua na bonus ambayo itatokana na mauzo, tutawekeana targets, if you meet the target you must get bonus on top of your good salary
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,469
  Likes Received: 19,850
  Trophy Points: 280
  jaman i tuchangamkie ajira hii jamani...ina maana ss wote humu hatuna hizi qualification au ndugu jamaa na marafiki?
   
 6. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2011
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  unalipa ngapi kwa mwezi?
   
 7. S

  Simon B james Member

  #7
  Apr 23, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dola 3000
   
 8. M

  Mkombozi JF-Expert Member

  #8
  Apr 26, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  sio kwamba hatuna qualification,bali wengine wana qualification za juu zaidi.Huyo aliyesema dola 3,000 ni ya Zimbabwe!Kwa akili ya kawaida mtu wa kusimamia nafaka,mshahara ni around laki 3 za Kitanzania
   
 9. chipanga

  chipanga JF-Expert Member

  #9
  Apr 26, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 661
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  mwanzo ulinishawishi, lkn kwa hizi dola.... napata wasiwasi.
   
 10. P

  Pretty P Senior Member

  #10
  Apr 26, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  kazi zakumeet taget ni noma jamani, nina experience nazo sana. Lakini jaribuni
   
 11. P

  Pretty P Senior Member

  #11
  Apr 26, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  kazi zakumeet target ni noma jamani, nina experience nazo sana. Kuna campuni wanalipa kwa target yani kwa mwezi unaweza pokea laki mbili au moja naa, jamani si shida izo
   
 12. b

  bop New Member

  #12
  Apr 27, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa yeye mwnyw anfanya kazi wp? utakuta hana kazi....
   
Loading...