Recent content by Simeon

  1. S

    kuna wezi sana eneo hili!!!!!!

    mmasai mmoja alikuwa safarini,huku amenunua chupi mpya na kuivaa,walipofika njiani akajisikia haja kubwa,akamuomba suka ashuke akafanye mambo porini,kwa kuwa giza lilikuwa limeshaingia,suka akamwambia angalia sana,sehemu hii c nzuri kuna wezi sana,jamaa kashuka na tochi yake,kajisaidia,kumbe...
  2. S

    Turn around!!

    hee,maskini kijana wa watu,akajua anazamishiwa nchi 20,lazma ufaint tu
  3. S

    wangoni wana nini jamani??

    fisi,kenge,mbwa,nyati,paka shume,nyoka,mjusi kafiri,nyangumi,papa,nondo mla watu,...........
  4. S

    Wenye Kuitaji Vitabu e-books

    kaka,ni2mie hicho cha computer science,upgrading and fixing computers,nashukuaru mkubwa
  5. S

    Adhabu ya viboko mashuleni - should it be abolished?

    kiboko lazma especially kwa students,hiyo ndo adhabu rahisi isiyopoteza muda kwa wote,mwalimu na mwanagunzi,maana ukitoa adhabu nyingine,itahitaji usimamizi,kitu ambacho ni upotevu wa muda
  6. S

    Just go

    dozi vp?alikuwa anapata sindano za kutosha?maana c swala la matumizi tu!
  7. S

    Elizabeth

    baada ya intruder kuondoka ndo palikuwa patamu....!
  8. S

    natafuta house girl/msaidizi wa kazi za nyumbani

    angalia tu matokeo ya form four utafute contact,utawapata kibaooo!
  9. S

    Hebu tujikumbushe hizi movie na majumba ya cinema

    1.war bus- loren christopher and others 2.Kuli -Amita Bachchan 3.Loha-Dharmendra,Amrish Puri 4.Shahensha-Amita 5.dance dance-mithun 6.king solomon's mines 7.the spy who loved me-James Bond 8.first blood-silvester stallone(Rambo) 9.cyborg-van dame 10.Robowar 11.red scorpion-dolph...
  10. S

    List of 100 Great Tanzanian of all Time

    1.mwl.Kambarage Nyerere 2.Moringe Sokoine 3.EDWARD LOWASA
  11. S

    kamaliza degree ya sheria UD

    Aone aibu wapi?hawanaga aibu hawa,washakubuhu!
  12. S

    Notisi za advance pcm

    waombe walimu wako!unawakimbiakimbia tu!
  13. S

    Msaada jamani

    Roho mbayaaa.....!
  14. S

    Ndege? Ndege mpo?

    haha haaa!mmenikumbusha hotel za uswahilini!utasikia! Muuzaji:nani kuku? Mteja:mimiii..! Muuzaji:nani ng'ombe? Mteja:mimi hapa kaka!
Back
Top Bottom