kamaliza degree ya sheria UD

kilimasera

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
3,068
268
Mulokozi (Mhaya) kamaliza degree ya sheria UD, sasa karudi Bukoba
akaanzisha kijiofisi chake.
Shughuli ikaanza hivi, kakaa kwa muda mrefu bila ya kupata customer
kama zali vile, siku moja kijana mmoja akaja. Sasa Mulokozi kumuona tu
yule kijana anaelekea ofisini kwake kaanza mbwembwe. Kachukua simu,
akaanza kujizungusha kwenye kiti anajifanya anaongea na simu na mtu wa
Califonia - Marekani.
Kaongea kama nusu saa hivi, kijana wa watu anamsubiri kisha kwa madaha
akamwambia 'Sorry youngmen unajua watu kama mimi, tunafahamiana na
watu wengi all over the world ndio nilikuwa naongea na client wangu wa
Califonia by the way nikusaidie nini? (Kwa lafudhi ya kihaya)
Kijana wa watu akajibu : Nimekuja kukuunganishia line yako ya simu
kwani hukuwa online kwa kipindi kirefu, mimi ni mfanyakazi wa TTCL
 
Hahahahaaaa aibu! nilidhalilika siku mija nilijifanya naongea na simu ya uongo ili niwaambie wenzangu naondoka nimeitwa home li simu likaanza kuitia sikioni lolo aibu!!!!!!
 
dah! Jamaa cjui alijificha wap mana cjui alikuwa mdogo kama nini
 
hahahahaaaa aibu! Nilidhalilika siku mija nilijifanya naongea na simu ya uongo ili niwaambie wenzangu naondoka nimeitwa home li simu likaanza kuitia sikioni lolo aibu!!!!!!

hahaaa,pole sana maana ni bonge la noma.
 
Wakina Kokushubira bana hawaishi viroja vya majidai ya kusoma kiinglish!
 
Mulokozi (Mhaya) kamaliza degree ya sheria UD, sasa karudi Bukoba
akaanzisha kijiofisi chake.
Shughuli ikaanza hivi, kakaa kwa muda mrefu bila ya kupata customer
kama zali vile, siku moja kijana mmoja akaja. Sasa Mulokozi kumuona tu
yule kijana anaelekea ofisini kwake kaanza mbwembwe. Kachukua simu,
akaanza kujizungusha kwenye kiti anajifanya anaongea na simu na mtu wa
Califonia - Marekani.
Kaongea kama nusu saa hivi, kijana wa watu anamsubiri kisha kwa madaha
akamwambia 'Sorry youngmen unajua watu kama mimi, tunafahamiana na
watu wengi all over the world ndio nilikuwa naongea na client wangu wa
Califonia by the way nikusaidie nini? (Kwa lafudhi ya kihaya)
Kijana wa watu akajibu : Nimekuja kukuunganishia line yako ya simu
kwani hukuwa online kwa kipindi kirefu, mimi ni mfanyakazi wa TTCL
Weeeeeeeee!!!!!!!!!!! Kingwendu sijui Kilimasela mwongo, kwani hata mobile si utalonga USA??????????? Kwanza kule BKB wanasheria wana kazi kibao. Huyo Mulokozi wako offisi yake iko upande gani????????? Usijali umefanya nicheke saana leo. Ubarikiwe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom