Hebu tujikumbushe hizi movie na majumba ya cinema

nyabhingi

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
15,515
20,005
heu tujikubushe hizi movies enzi zile

icon1.png
Hebu tujikumbushe hizi movie na majumba ya cinema


Kila nikikumbuka hizi picha huwa zinanikumbusha mambo mengi and i also get emotional
andhaa kanoon-amitah bachan
disco dancer-mithun chackraborty
kassam paida karne waleki-mithun chakraboorty
loha-mzee ashanti and others
tarzan
amne samne
missing in action-c.norris
commando-arnold schwerzenneger


ongeza nyingine unazojua za kitambo kile

na ayo majumba ya cinea je??

cameo
avalon
empire
empress
drive in-hapa ukipita kwa nje unaona movie yote
 
Hizo sinema na kumbi za zamani zilikua zinafanya uchaguzi 2010?
 
Umenikumbusha mbali sana,Enzi hizo kulikuwa na Ulanguzi wa Tiketi za Cinema,Je mnakumbuka kulikuwa na muhindi mmoja hivi-alikuwa kama Teja hivi 1985-89 ndo alikuwa mlanguzi maarufu wa Tiketi za sinema Avalon,New Chox na Empress.
War Bus
Rambo I II III (mpaka kukawa na mifuko ya rambo-plastic bags)
Snake in the monkeys Shadow -|Bruce lee
Shaolin Temple
No retreat no Surrender -VanDame (hapa mwishoni mwa cinema TZ)

Ukumbi wa Drive-in sasa ubalozi wa usa
Star-lights (kumbi ya taarab siku hizi :)
 
Snake in the Monkey Shadow kacheza Jackie Chan Sio Bruce Lee . Na Kumbi za sinema zilikuwa Empire, Empress, Avalon, Odeon, New Chox Posta. Yale yalikuwa maisha. Sinema za kiutu uzima watoto hawaruhusiwi. Siku hizi zinauzwa kama njugu mtaani pamoja na kuangalia kwenye mabanda ya magunia.
 
Live and let Die - 007 James Bond
Golfinger - -do-
From Russia with Love - - -do-
You only live twice - - -do-
Moonraker - - -do-
The spy who loved me -- -do-
Diamonds are forever - - -do-
Dr No - - -do-
 
American Ninja- Michael Dudekorf
A.W.O.L- Jean Claude Van Damme
Double Impact- Jean Claude van Damme
Enter the Dragon- Bruce Lee
 
TIVOLI na LIBERT CINEMA Mwanza

movies kama

Raja Jani
IMTIANI
KINGBOXER
BLOODY FIST
TOUGH GUY
ENTER THE DRAGON
BLACK BELT JONES
CLEOPATRO JONES AND CASINO OF GOLD
CLEOPTRA JONES
HITMAN
MR T
COTTON COMES TO HARLEM
SHAFT
KISS KISS KILL KILL
THEY CAL ME TRINITY
 
1.war bus- loren christopher and others
2.Kuli -Amita Bachchan
3.Loha-Dharmendra,Amrish Puri
4.Shahensha-Amita
5.dance dance-mithun
6.king solomon's mines
7.the spy who loved me-James Bond
8.first blood-silvester stallone(Rambo)
9.cyborg-van dame
10.Robowar
11.red scorpion-dolph landgren
12.showdown in little Tokyo-Dolph and Blandon Lee
enzi hizo ukumbi wa paradiseDodoma c mchezooo...!
 
Yomba yomba
muhogo mchungu
vita vya kagera/minziro
the spy who loved me
disco dancer
kaalia kaalia
shakti
 
1.Three the hard way. jim kelly, jim brown & fred williamson,
2.sodom & gomorah
3.one silver dola saved my life. - richard roundtree
 
Mm nakumbuka kina Jim kelly, Jim Brown na ? Katika muvi kama za Bucktown, 3 down 2 to go, 3 the hard way

sisahau pia zile za macow boy - franco nero

we acha tu.
 
Ninazitafuta sana sinema za zamani nimepata chache sana kama kuna ambaye anaewza kunipatia SUNDAY OF THE MUSIC NITAFURAHIA SANA NATAKA WATOTO WANGU WAIONE HIYO,NILINGALIA MARANYINGI SANA EMPIRE HALL NA CAMEO
 
Ukumbi mwingine ulikuwa muhimbili paramedical uko karibu chumba cha kuhifazia maiti muhimbili,hizo sinema milizo zitaja zote tulikuwa tunazisubiri pale kwa bei ndogo tukishindwa kupata tikiti kwenye majumba ya sinema ya mjini,wale wanafunzi madaktari wa miaka ile ya 1970 na 1980 walikuwa juu sana kujitafutia ziada,pia ndio walikuwa walimaji mashuhuri wa mchicha dsm,hoteli zote mjini walinunua mchicha muhimbili,mmenikumbusha mbali sana mengine tuache.
 
heu tujikubushe hizi movies enzi zile

icon1.png
Hebu tujikumbushe hizi movie na majumba ya cinema


Kila nikikumbuka hizi picha huwa zinanikumbusha mambo mengi and i also get emotional
andhaa kanoon-amitah bachan
disco dancer-mithun chackraborty
kassam paida karne waleki-mithun chakraboorty
loha-mzee ashanti and others
tarzan
amne samne
missing in action-c.norris
commando-arnold schwerzenneger


ongeza nyingine unazojua za kitambo kile

na ayo majumba ya cinea je??

cameo
avalon
empire
empress
drive in-hapa ukipita kwa nje unaona movie yote
Juzi nilikuwa naangalia 'Missing in action'. Ilinikumbusha mbali sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom