Just go

hamna kujitetea hapo, utasemaje uko tabora halaf unaonekana mwenge bana! think! mkuu think!

Angalie vizuri unaweza kuta huyo rafiki yake aliyempa taarifa ameingia dili na huyo mwanamke. Who knows, labda wamefanya hivyo, ili jamaa amteme mwanamke halafu huyo rafiki yake avinjari naye. Dunia duara. Kwani huyo rafiki yake aliyempigia simu akimuuliza demu wake yupo wapi, alikuwa anajua kuwa ameenda kusoma Tabora?
 
Angalie vizuri unaweza kuta huyo rafiki yake aliyempa taarifa ameingia dili na huyo mwanamke. Who knows, labda wamefanya hivyo, ili jamaa amteme mwanamke halafu huyo rafiki yake avinjari naye. Dunia duara. Kwani huyo rafiki yake aliyempigia simu akimuuliza demu wake yupo wapi, alikuwa anajua kuwa ameenda kusoma Tabora?
assume kwamba ulichoandika ndicho kilichotokea, still huyo manzi kafuja and she deserve the worst, all in all mleta sredi anaonekana sio mtoto mdogo kuchukua decision nzito kama hii bila kuwa na uzito wa ushahidi.
 
Aisee.....~

Mpe kubwa......."Hire slowly Fire Quickly"

Kuna vijana kadhaa huku ughaibuni wanawalalamikia dada zetu wa Africa...hususwan wa Tanzania....wanadai si waaminifu kabisa ktk love...karibu wote hawafikirii,at least for now,kuoa waTz.

Wanadai ni ngumu kumwamini dada wa kiBongo anoposema nakupenda.Akina dada waliopo huku ni hatari zaidi...hata mimi nashuhudia...ila jamaa wanasema na huko Tz pia hali ni hiyohiyo....sijui ukweli wa hili
 
Kaka umefanya maamuzi sahihi. Umekuwa mfano mzuri kwa wanaJF wanaokuja kuomba maoni kuhusu masuala ambayo wanaweza amua wao wenyewe direct. Yaani imeonyesha kabisa kuwa huyo dem alikuwa hakupendi......AMEKUDANGANYA MCHANA KWEUPEEEE!!! POLE SANA KAKA, ILA NDO UKUBWA HUO. NA NDO MAANA UMEKUWA MMOJA KATI YA MAGREAT THINKERS...... SAFI SANAAAA!!!!!


Huyu binti nlimpenda sana, I have never been this honest katika mahusiano yoyote nliyokua nayo before. Aliniaga anakwenda chuo Tabora. Kama wiki mbili zilizopita,nikampa baraka zangu zote nikamwambia Mama nenda lakini jua kwamba nakupenda sana naomba ulinde penzi letu, binti akaitikia, na mpaka leo mchana ninaongea nae kwenye simu najua yupo Tabora. Kuna rafiki yangu jioni hii kanipigia simu akaniuliza demu wangu yupo wapi? Nikamjibu Tabora, akashangaa akanambia dem wako namuona Mwenge dar, na kufanya asiwe na pakutokea msela wangu akaenda kumsalimia. Nimeamua kuachana nae for good, mana hii sio mara ya kwanza kunidanganya mara ya kwanza nlikosa ushahidi hivo nlimsamee. This tyme nimeamua nimuache aende zake. Naamini nime make the right decision wana jamii.
 
Back
Top Bottom