Salamu wakuu!
Kwa uchunguzi wangu wa haraka, Tanzania huenda ndiyo nchi inayoongoza duniani kwa kuwa na mifuko mingi ya hifadhi ya jamii. Ifuatayo ndiyo mifuko ya hifadhi ya jamii hapa JMT: NSSF, PPF, LAPF, PSPF, GEPF. Kutokana na mlolongo huu wa mifuko ya hifadhi ya jamii, kumetokea tofauti...