Recent content by Sim 1

  1. S

    JamiiForums Tanzania Le mutuz awashukia wanaomlaumu kuhusu nyumba ya mama yake

    Ha ha ha Lemutuz ni B TOZ
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kundi la ISIS lawachinja wapiganaji wake zaidi ya 120 kwa kujaribu kutoroka

    Wawaue tu ili wengine waogope kujiunga na hilo kundi, mwisho wa siku watajikuta wamebaki wachache na mauaji ya watu wasio na hatia yatapungua.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mfanyakazi wa ITV na mwanachama wa JamiiForums afariki dunia

    R.i.p dada, nyuma yako mbele yetu.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Gazeti la UK laweka hadharani jitihada za Pinda kukwamisha mjadala wa ESCROW

    Hivi bado kuna mtu anajiita ni mwanachama wa sisim? huko kuna wenyewe wewe mwenzangu na mimi huko hapakufai, ondoka haraka sana muwaache wao na watoto zao.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Unamkataa mtu halafu unamtangaza chuo kizima au ofisi yote hadi walinzi wanajua

    Ni utoto akikua atarijua hilo.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Msichana wako wa kazi unamlipa ngapi?

    Mimi namuendeleza kimasoma elimu ya secondary form 1 to form 4.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hapo Babu Asprin Akiwa na Mmoja wa Member Wa Jamii forums

    Kwa umri huo, wakienda kwa 6 kwa 6 ataishia goli moja tu, visingizio chungu mbovu.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Modemu ya Vodacom inauzwa

    Kwanini mkuu unaiuza,au imebuma?.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mgao wa umeme kwa wakazi wa Mbezi Beach

    Jana nilikua Mwanza, nako umeme ulikatika siku nzima na naambiwa na leo tena wameukata toka asubuhi.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Rasimu ya Samweli Sitta yalisambaratishia mbali taifa la Zanzibar

    Tanzania eeeee nchi yangu aaaaaa, mwanangu kua uyaone
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa wanaume

    Huo ni ushauri kwa vijana wenzako sio wanaume.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya mende

    Aaah maskhara ,Mimi na kitambi changu chote hiki hawaniogopi,wanaogopa mende.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wakwe waongeza dau la mahari baada ya kuona maprado yamepaki

    Piga mimba harafu potea,lazima watakufuata na kama wataendelea kua kiburi piga tena mimba ya pili.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Rushwa za ngono kwa lecturers vyuoni

    usipotoa rushwa unaonekana huna ushirikiano, matokeo yake ni kupigwa sap.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Picha za Mv Pangani II na Basi linalozama taratibu

    hatari sana
Back
Top Bottom