Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,760
Aisee.... yani badala wife alee wanao wanalelewa na osigelo????
Hii dunia hii
hahaha unachekesha mama matesha haendagi kazini anawalea parttime
Aisee.... yani badala wife alee wanao wanalelewa na osigelo????
Hii dunia hii
Kama wa kwangu huyo, kama haitoshi hata wanangu wanafurahia kuwa na mtu wa kuongea naye kidhungu....Mii nilichoshwa na wabongo, beki 3 wangu ni Mmalawi, namlipa elfu 70!
Hii love connect itakua baina ya baba mwenye nyumba na beki tatu.....hahahahaaaaaaHii nayo ni Love Connect?
niajiri mie
Fastjet unaweza kukaa na mtu anakula miwa. Sema lokeshen helikopta ya Ndesamburo ikufuate fasta.
huu uzi utasaidia kujua on average msichana/kijana wa kazi kwa sasa anapaswa kulipwa bei gani kw amwezi ili kutimiza majukumu yote ya nyumba................
haya taja.....
buku 30.kazi yake ni kulea wanangu tu.mengineyo anafanya waifu
Kama wa kwangu huyo, kama haitoshi hata wanangu wanafurahia kuwa na mtu wa kuongea naye kidhungu....
Special Request
Hao wa Malawi mmepata wapi? Je tabia nyingine vipi? slim5
Kupata mdada wa home imekuwa issue sana siku hizi yaani wabongo wenyewe ni biashara kibao hawatulii.
Nitakupm asante sana nilikuwa nimeuliza na swala la tabia, je wako vipi? na usalama je?Kuna madalali wao, wanawaleta na kuwafanyia marketing! wamejaa dsm mkuu, si unajua wamalawi wana free entry Tz, so wamejaa, km vp nikuunganishe na dalali wao, tena unataja specs mwenyewe km unataka asiejua ama anaejua Kisw!
Nitakupm asante sana nilikuwa nimeuliza na swala la tabia, je wako vipi? na usalama je?
Kitabia na usalama,.cjawahi kukumbana na changamoto yyt kwa hawa wasichana! Though mm nimekuwa na wawili tu kwa wkt tofauti tofauti!
Niunganishe na dalalii naomba, nimekupm pia.Kuna madalali wao, wanawaleta na kuwafanyia marketing! wamejaa dsm mkuu, si unajua wamalawi wana free entry Tz, so wamejaa, km vp nikuunganishe na dalali wao, tena unataja specs mwenyewe km unataka asiejua ama anaejua Kisw!
Siwezi kusema hapa yote maana itakua ni kumponza muhusika. Kuna mdada mmoja maeneo ya Mbezi juu hao wadada kutoka Malawi huwa wanafikia kwake anawa-accomodate na baadaye anawatafutia kazi za ndani kwa mtu anayemwamini sio Pilato...Special Request
Hao wa Malawi mmepata wapi? Je tabia nyingine vipi? slim5
Kupata mdada wa home imekuwa issue sana siku hizi yaani wabongo wenyewe ni biashara kibao hawatulii.