Recent content by Silvester Kapala

  1. Silvester Kapala

    JamiiForums Tanzania Baada ya kauli ya Rais kuzuia kuuza Mazao nje ya Nchi, bei zimeshuka

    Angalau tupumue sio bei zile za chakula kha!! kwa hili nampongeza
  2. Silvester Kapala

    JamiiForums Tanzania Unaweza ku survive muda gani ikitokea huna kazi uliyonayo sasa hivi?

    Nawza gonga hata miaka 8 hapo ni kula tu familia nzima nisiingze chchte kwa miaka hyo
  3. Silvester Kapala

    JamiiForums Tanzania Binti miaka 20 anatafuta kaz

    upata mwingne nijulshe najua huyo Mshana kamalza nijulshr mwingne akpatikana
  4. Silvester Kapala

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

    Natafta kioo cha Samsung S8+ complete
  5. Silvester Kapala

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pasword ya icloud imesahaulika, je inawezekana kutoka

    Tunaziondo chap chap tu nichek
  6. Silvester Kapala

    JamiiForums Tanzania Video ya mtu aliyedhaniwa ni Meena Ally imesambaa mitandaoni. Meena Ally akanusha asema si yeye

    Ni yeye hakuna ubsh hapa nmetoka kuiangalia hata saut tu ni yeye
  7. Silvester Kapala

    JamiiForums Tanzania DID GIANTS EXIST? Historia ya Majitu ya Kale

    Hizo ni story za vijiwen maana kwanza ulza mvua ilnyesha kwa siku ngap!? Hapo utapata jbu kuwa ni story za vijwen
  8. Silvester Kapala

    JamiiForums Tanzania Pendezesha nyumba na sakafu ya Epoxy 3D

    Tunasubiri gharama
  9. Silvester Kapala

    JamiiForums Tanzania Ulipata milioni yako ya kwanza ukiwa na umri gani? Ulipataje?

    Nikiwa na miaka 24, Skushika million 1 ila nilshika Million 5.500k cash Ni baada ya kufngua kibubu changu nilcho ktunza kwa miaka 2 tu. Vjana wenzangu kibubu knaokoa sana tjtahd hasa ukiwa na kaz ambayo hutakaa ukiwaza sana kibubu yaaan sio kila unapopata tatzo unawaza kibubu hapo htofiksha...
  10. Silvester Kapala

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kudukua/ ku-hack simu za wenza wetu tukutane hapa kueleza athari tulizozipata baada ya kujifanya wajanja!

    Yes unawza tena saiz unaweza muhack mtu hata kama anatumia Nokia ya toch
  11. Silvester Kapala

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuondoa madoa na mabaka mwilini

    Me nilpata Ajal nikapata madonda ya makubwa nilpata dawa ya kufuta makovu Niliagza ktoka kongo iko pwa sana tena ila kna kovu lilivimba namaansha line kakjinyama kadgo tu kwa ndan / lipo kwenye shavu naweza fanyeje angalau haka kajinyama kaliko ndan kapngue??
  12. Silvester Kapala

    JamiiForums Tanzania Afisa wa TAKUKURU amuua mchumba wake kwa risasi baada ya kumkatalia ndoa licha ya kumsomesha

    Naona watu hawawajui wazur, maana hata me nmeshangaa hyu anauzur gan chefuu!!!
  13. Silvester Kapala

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaniomba nizae naye!!

    Duh!!! hii Dunia ina mambo atalea mwenyw kakudanganya hyo uskubal
  14. Silvester Kapala

    JamiiForums Tanzania Invisible yupo wapi siku hizi?

    Duh!!!
  15. Silvester Kapala

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Kapicha Boss
Back
Top Bottom