Jinsi ya kuondoa madoa na mabaka mwilini

suruhisho la matatizo ya ngozi limepatikana! kama una tatizo la ngozi lolote la ngozi usione aibu! kwani waswahili walishasema mficha uchi hazai! tunayo creme inayoondoa makovu na kurudisha ngozi katika hali yake ya kawaida wasiliana nasi whats app 0764014285
Hata kama ni kovu la moto kama ndonya za kabila la wagogo maarufu kama shilingi usoni linawezekana kuondoka?
 
Mbona mnatoa email za microsoft hamtoi za google?
Kumbe ni kweli ku-hack email za google ni mtihani mkubwa zaidi na ndiyo maana mnatoa email za microsoft?
 
Juisi ya kitunguu swaumu inaandaliwajwe?? Au ni baada ya kukitwanga twanga???
Nilikosea hapo, Ila Nimerekebisha, Twanga/saga vitunguu maji kiasi halafu juisi yake au yale maji uliyoyapata baada ya kukitwanga au kukisaga unapaka asubuhi na jioni mpaka makovu yafutike. Unapopaka usinawe au kuoga mpaka baada ya dakika 15-20 hivi zipite.
 
Nilikosea hapo, Ila Nimerekebisha, Twanga/saga vitunguu maji kiasi halafu juisi yake au yale maji uliyoyapata baada ya kukitwanga au kukisaga unapaka asubuhi na jioni mpaka makovu yafutike. Unapopaka usinawe au kuoga mpaka baada ya dakika 15-20 hivi zipite.
Asante mkuu kwa maelezo hayo. Je? Ina weza tumia muda gani mpaka kovu kufutika kabisa
 
Pole sana tumia asali na nyanya,nawa kama kawaida na sabuni isiyo na chemical na maji ya kawaida,jifute bila kusugua mgozi yako,kata nyanya kipande kimoja nyunyizia sukari ile ya chai weka ijae hapo ulipokata,jisugulie kuanzia chini ya kidevu panda kwenye paji la uso ,jisugue kwa kufanya mduara huku unapanda juu,kaa kwa dk kuna na tano au 30 ,haichubui inang'arisha na kutoa makovu na chunusi,pia nenda hosp kwa dr wa ngozikwa kushauri zaidi,pole sana
 
Me nilpata Ajal nikapata madonda ya makubwa nilpata dawa ya kufuta makovu Niliagza ktoka kongo iko pwa sana tena ila kna kovu lilivimba namaansha line kakjinyama kadgo tu kwa ndan / lipo kwenye shavu naweza fanyeje angalau haka kajinyama kaliko ndan kapngue??
1571938335524~2.jpeg
 
Mbontafo a.k.a habari zako lol
pole sana kwa tatizo ndugu.ila ila ila kama hilo kovu ni la moto usidanganywe humu kuwa eti ipo dawa ya kuliondoa kovu hilo plzzz.mimi niliungua mguu kama miaka 15 Ilopita sehem ya paja nilitumia dawa sana halikutoka nikaamua kwenda ccbrt na likaisha kabisaaa huwezjuakama niliwahi kuungua.
Nakushauri nenda pale ccbrt kuna wataalam wa kuondoa hayo makovu hata kama umepinda mdomo ama uso kutokana na kovu hilo unarudia sura yako kabisa.tena kuna wafadhili wanaofadhili huduma hiyo unachangia kidogo sana.mimi nilienda pale 2010 nilitoa only 75000
kwa huduma zoote tena watoto ni buree
Mbona ccbrt nilizungumza nao kwenye simu wakasema hawana huyo daktari
 
Back
Top Bottom