Yap,na pia mji wa Ifakara unakua kibiashara. Kuna mabasi mengi hii njia ila barabara ni changamoto. Kuna mashamba makubwa ya mpunga Chita KPL,achilia mbali mashamba ya wakulima mmoja mmoja. Barabara hii itarahisisha sana shughuli za kiuchumi
Nampongeza sana Mh.Rais kwa kuipa kipaumbele hii barabara. Eneo hili liko potential kiuchumi ila miaka nenda rudi barabara hazipitiki. Kipindi cha mvua utasema barabara ya Kidatu Ifakara wanapita ng'ombe.
Walivyopewa za chembe kule staki shari binafsi nilifurahi sana.
Kuna mambo yakiwatokea hata sishtuki. Naona wanastahili na wao. Wamezidi kuinea raia na imeshaonekana ni sehemu ya kazi zao.
Shubbaaaaamiti.
Hahahaaaa.....
Nimeona huu uzi wake nikakumbuka comment yake flani hivi kuwa baada ya mumewe kinafuata kidole.
Pole yake aisee,labda mtu wake hamkuni vizuri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.