Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 24,812
- 44,607
Ndo hivo huo mti uko kando kando mwa barabara lakin jamaa huwa wanajifanya kama hawauon maana wanaujua, wamejenda mtaro wakapindisha kidogo wakauacha wanaujua sanahahaha
kumbe na hayo yapo tena. Ushirikina wa kibongo ni kurudisha nyuma mipango
Sent using Jamii Forums mobile app