Japo umegharimiwa kwa machozi, jasho na damu, ulikuwa huru na wa haki!. Hongera CCM, CHADEMA poleni!. Mungu saidia Tz

Ha ha haaaaa
Sasa wakataa nipo kijijini haya basi nipo hapa ulaya likizo.. njoo uku tuburudike kwenye sijui baridi sijui ulaya ya ilipo joto.. sasa utakaribia?

Maana si unapenda kuniandika ka vile unanifahamu ha ha haaaaa.. njoo panda ndege maana umedharau hapa kijijini ndege haifiki.. basi njoo na ndege tupaite Ulaya.. na snow ipo utaionja ubaridi wake.. si unajua kuna barafu nchini juu ya milima pia.. eeeeh


Hayaa bhana fikiria ushauri wangu. Utaukumbuka na kuna siku utakuja kuanzisha thread kunishukuru.
 
tatizo sio NEC/CCM wala serikali -tatizo sisi wenyewe asilimia kubwa ya wananchi hawajitambui wengi wa wananchi ni wajinga-waoga na masikini wa kifikira
Kura za watu wajinga, waoga, wasiojitambua na masikini wa fikira unazitakia nini? Nadhani hizo kura walizopata cdm/upinzani ni za wanaojielewa kifikira. Tafahali ridhika nazo hizo hata kama ni chache. Za wasiojielewa achana nazo.
 
Umeyaandika hayo kwa maneno
Ukiambiwa uweke matukio yote utaweza!!.. ni vizuri ukafungua uzi uandike yoteeee tuyajue unayodai..

Nilikuwa busy kweli kweli jana
Ndio nimeona CCM wameshinda kwa kishindo

Ila inajulikana chini ya JPM haiwezi kushangaza.. drama za kulialia za haswa Chadema watu wamezichoka

Wabunge wao hawana la kuonyeshea na kuringia kwa kuleta maendeleo kwa wananchi wao kupiga domo na kujaza matumbo kwa kupenda pesa tu

Hongera kwa Wabunge.. ila walifanya kazi ya kujinadi nafikiti kupita ya 2015.. eeeeeh jasho limewatoka hawatasahau uchaguzi wa jana maishani mwao eeeeeeh

Sasa watende kazi na waliyosema watafanya wayafanye kweli kweli...

Chadema acheni kulalamika hata vikamera vya kuficha hata peni au saa kweli mlishindwa kurekodi kama kweli.. mnaboa
umepost nini sasa, nonsense!
 
Japo nakuelewa paskali ila una poteza sana raia.ila kwakua uhai ndo kipaumbele cha kwanza kwa kila kiumbe basi sawa.

Ulipo ulipo pandisha uzi wako juu salum mwalimu,nilisema hapa kua ccm hawawezi kufanya makosa mara mbili.ilikua ni uwendawazimu kufikiri kua wangeruhusu wali/wagombea wao wangekubali washindwe.

Ujinga ni pale zinapotumika gharama kuubwa kwa kuhadaa dunia kua tunao uchaguzi wa huru na haki.ifike mahali kama kweli lengo ni kusaidia jamii yetu tusichoshe raia kiasi hiki,bali hela zoote ambazo zingetumika kufanya uchaguzi zipelekwe jimbo husika kutatua changa moto zilizopo.

Niwakati sasa vyama vya sisa vinavyo maanisha kushika dola,viachane na mtindo huu uliopo wa uchaguzi.wana wavunja moyo wapiga kura wao.
 
kwani ww ulitegemea mtulia assipite hivi uliona wapi chama kitumie mabilioni ya hela kumuondoa mtu kutoka chama cha cuf kuja CCM alafu washindwe kizembe
Mkuu,hilo mimi nililisema mapemaaa.maccm sio wajinga kiasi hicho.

Nacho shukuru Mungu idadi ya vifo imekua hii tuliyo nayo.walikua wako tayari hata kinondoni ibakie majivu
 
It was a true knockout punch, chadema hawakujipanga kabisa, hata TBC walionyesha clip za raia huko wakilalamika kuhusu miundo mbinu, uchafu na kero lukuki, nashindwa kuelewa chadema hawakuchukuwa fursa hiyo kwenda kubangaiza na ahadi hewa au kujifanya kuchimba hiyo mitaro n.k. n.k. kama wenzao, lessons learnt?! Only time will tell...
 
Mkuu NEC ni kitengo cha ccm usitegemee upinzani kuja kushinda bila tume huru na ya haki kupitia katiba mpya ya warioba

Hakuna cha katiba ya warioba ni kufanya maamuzi tu hawa wote hawaaminiki

Ufisadi ilikuwa agenda kuu Mara imehama kama ckupotea kabisa Lowassa amekuja CDM agenda ikafa kwa kasi wakati wengi wa viongozi mapovu yalitutoka kuuaminisha umma yeye ni fisadi na sasa Magufuli amejifanya anapambana na ufisadi ufisadi UPI? Nyumba ziliuzwa Leo watumishi hawana makazi wala mishahara hakuna na miradi inaanzishwa tu kwa matakwa ya MTU na tenda hazitangazwi na hata kuuliza tu MV DSM imezama wapi au imekwenda matengenezo bila safari zozote?

Sasa kama wananunuliwa madiwani na wabunge basi hata hatuna haja na uchaguzi na wao wanaonunua watu wanaakili za makinikia
 
Sidhani kama wachangiaji wengi wamemuelewa Mayalla! "uchaguzi umegharamiwa kwa Machozi, Jasho na Damu" . Lakini bado umeendelea kubaki kuwa wa huru na wa haki "KWA NEC" Hongereni CCM, poleni CHADEMA /UKAWA!

Nimejaribu kumuelewa hivyo na nadhani yuko sahihi! KWA NEC uchaguzi ni wa huru na wa haki!!! Au nani alitegemea iwe tofauti na hivyo!
 
Back
Top Bottom