Kinachowashinda ni kwamba tukio likitokea mnagandisha mawazo kwa watu wa dini fulani. Mara nyingi mnaficha yanayotokea upande mwingine.
Sasa sidhani kama atapatikana muhusika wa kweli, subirini ajipange tena afanye tukio.
Mimi nadhani waliolipua wamelipiza kisasi kutokana na Padri kumtesa kinyama mpenzi wake kule msitu wa Kisarawe kwa kumkata mapanga na kumburuta kwa gari kisha kumtelekeza porini akidhani amekufa. Hii ndio maana ukaona miongoni mwa watuhumiwa ni wakristo.
Wa Tz kwa kupenda misaada bwana! Tambueni kuwa misaada hiyo inayopitia Compassion itakuja kuligharimu taifa kama Libya, Syria, Irag, Congo, Mali, J.Afrika ya Kati, Sudan na kwingineko. Kwani kuna vijana wanaaandaliwa kuanzia chekechea hadi chuo kikuuu ambao watafuata milengo ya wafadhili kisha...
Hata ukionesha jinsi utoto na upuuziaji wa hisia za wananchi unaofanyika huko bungeni, wastaarabu hawapendezewi kuuona. Kwani kuna haja gani kuwaonesha wananchi uchakaramu ulionao? Ndio kwanza walio wengi wanazidi kuichukia demokrasia kwamba kumbe ni njia hasa ya kuwapeleka kuzimu aliko shetani.
Jamani inabidi tuambiane ukweli sasa maana siku ziko karibu ambapo kila mtu ataulizwa neema za Mungu kazitumiaje. Pia kuna neno la Mungu linasema; "Mungu Muumba hatawaadhibu watu mpaka alete Mjumbe wa kuwaonya". Sasa kimsingi Mungu alileta wajumbe wengi kulingana na wakati kwa mpangilio maalumu...
Mada yako watu wengi ambao ni waumini wa dini ya demokrasia hawawezi kuichangia kwani kuanza kuruhusu mdahalo wa faida na hasara za demokrasia huko ni kufungua njia ambapo watu watafahamu uchache wa faida zake na wingi wa hasara zake hivyo kusababisha kumkufuru mungu wa demokrasia (shetani)...
Nyie mlikimbilia kupiga makelel Radio Imaan ifungiwe tu kwa kuwa inasema ukweli unaowauma. Mumesahau kuwa sote ni watoto wa Adam na tumeletwa hapa duniani kwa malengo maalumu na aliyetuleta akatupangia utaratibu aliowapa mitume kuanzia wa kwanza Adam na wakafuatia wengine akina Nuh, Ibrahim...
Hilo sawa. Tunasubiri ripoti ya mauaji ya Padri wa Kanisa Katoliki huko Zanzibar. Kwani tunajua serikali inafanya kazi kisanii na kwa mashinikizo ya kundi fulani hapa Tz. Majibu ya ripoti yatolewe mapema kwani hadi leo watanzania "wakimbizwa" wanateseka kisaikolojia kwa makele ya "wenye nchi" na...
Big up Dr. Slaa. Tunataka viongozi wanaoona mbali. Hakika bila ya kuwa na ofisi na makatibu walioajiriwa Chama hakiwezi kupiga hatua. Watu watajitolea kwa kutumia muda wao wa ziada huku wakifanya kazi sehemu zingine, CCM wakiona nani ni muhimu anayekipeleka Chama kwa kujitolea Ukatibu basi hutia...
Ikiwa serikali haina dini kwa nini kuwalazimisha watu wafuate mila za dini fulani? Kumbukeni dini = mfumo kamili wa maisha ya mwanadamu kwa kuzingatia uhusiano wa maumbile na Aliyeumba. Kuweni makini na imani za watu si kubeza kila kitu. Mbona masingasinga na marasta hamuwasemi. Mtu akifuga...
Epuka chuki za kupandikizwa tujenge Tanzania yetu. Hukumbuki watu maarufu waliofungwa muda mrefu? Kumbuka ya Mandera, je yeye alikosa nini? Bora uwe huru kifikra kuliko Utumwa wa mawazo.
Ni lini watu watakua hiari kutibiwa makengeza waliyonayo? Watawala siku zote ni watesi wa wanaukombozi. Watatumia magenge yasiyofahamika kutengeneza uzushi ili jamii iwachukie wanaukombozi. Ponda anaongoza madai ya haki za waislam na haki hizo haziwahusu watu wasiokuwa waislam. Uamsho wanadai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.