Recent content by sikuzamwisho

  1. sikuzamwisho

    Kijana jitunze, kuteremkia miaka 40+ kuna zimwi linaitwa Kisukari na Presha. Mkeo atakuvumilia?

    Mkuu hii ni article nzuri sana je wanawake wanapata athari gani kama wanakunywa sana pombe hasa safari na k vant wataalamu wa mambo Watusaidie
  2. sikuzamwisho

    Rais Samia ni nyota inayong'aa

    Hongera sana Mheshimiwa Raisi Tunakupenda kwa kuongeza soko la ajira Wasiojitambua hawawezi kujua lakini Wewe ni Kiongozi imara na Shujaa Wanaotaka Kutugawa Washindwe,Tanzania sasa mbele kwa mbele Kazi iendelee Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
  3. sikuzamwisho

    Rais Samia Suluhu Hassan ameanza mchezo vizuri sana

    Naunga mkono hoja ni kweli Ameanza game vizuri kwanza kwa kutoa Waliokuwa Wanatugawa kwa kuwaweka pembeni kwanza sehemu ambazo Hawatasikika sana hasa wenye kauli za Kibeberu,Watanzania Wanyonge na Maskini na Wataalamu wa kusifu na kuabudu ni alert kwamba Mheshimiwa hapendi sifa na mihemko
  4. sikuzamwisho

    Visa nilivyoshuhudia kwa ndugu yangu Mtaalam wa Tiba za Asili

    Huu Uzi umenifungua macho maana ninayopitia ni magumu mno tangu mwaka jana Nilivunjiwa ofisi yangu nikaibiwa huku Mbagala Mwenye nyumba akanipeleka sehemu kwa Mtaalamu Sikufanikiwa chochote, Mzee mwingine akanipeleka sehemu nyingine aisee nimerudi nyuma kinoma from hero to zero yaani nimechakaa...
  5. sikuzamwisho

    TANZIA Boyd Mwabulanga aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya afariki dunia

    Makamanda baadhi Waache upotoshaji hajafa kwa covid kifupi alipata ajali akawa anatibiwa muhimbili msiba upo Mbweni na kesho Nitakuwepo Kumuaga Shemeji Yangu Mtu poa sana sana sana miaka ya nyuma Tukimtembelea home Forest Anatuacha sebuleni Tunaangalia movie baadae Anatukaribisha msosi wa maana...
  6. sikuzamwisho

    Maisha magumu sana ila nina imani ipo siku nitafanikiwa

    Mungu Akubariki hii ni comment bora sana bila shaka Uliyeandika ni Mtu mwenye roho nzuri sana Umemaliza kila kitu Mungu ni mwema Atafanya njia pasipo na njia
  7. sikuzamwisho

    Ujana dah! Jinsi nilivyomkimbiaga Msichana wa Tinder...

    Mimi iliwahi Kunitokea sio tinder wala Badoo kuna Demu alinipa namba ya simu ya Rafiki yake sababu hakuwa na simu,katika kuwasiliana Nikaunga kwa huyo Rafiki yake akakubali Nikamwalika kitaa ilikuwa pale mbuyuni Kinyerezi Kanipigia simu Nimeshafika Kumuona Nilijuta kuzuga ikabidi Kumuagizia...
  8. sikuzamwisho

    Ubalozi wa India wawatahadharisha raia wake dhidi ya ajira za MeTL

    Mkuu hongera sana tafadhali andika makala kabisaaa kuhusu hili, Watanzania ni wavivu asikwambie MTU. Tunapenda mteremko, binafsi niliwahi kufanya kazi Kwa wahindi sababu ya kuona kazi ngumu nikawa nafanya pole pole. Muhindi mmoja anaitwa Ridhwan akaniambia si ulitaka kazi hii ndio kazi tangu...
  9. sikuzamwisho

    Sitosahau nilivyoharibikiwa na pikipiki karibu na Hifadhi ya Tarangire

    Kuna story kwamba Ukikutana na Simba mbugani ukaganda huku umemtolea macho Akiunguruma VP ganda tu Mwisho wa siku Ataondoka je ni kweli hii kitu?
  10. sikuzamwisho

    My Corona relief trip and lessons therefrom

    Wakuu vp kuhusu chakula hapa Tumezoea ugali,samaki,kuku,wali,ndizi nk huko mbelembele inakuwaje na juice je au Mikate inatest kama Mikate Yetu au? piaukitaka kununua midudu ya Kizungu inakuwaje Anijibu Yoyote mwenye Uzoefu na safari Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
  11. sikuzamwisho

    Namna bora ya kutokomeza biashara ya ukahaba

    Binafsi Nilikuwa Nawaogopa lakini Nilipoonja siku moja Nikagundua ni watamu balaa tena hata mechi ya Nyumbani haigusi tena Nikimwona mchana Najiona sistahili lakini ni noma Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
  12. sikuzamwisho

    Wahuni siyo watu wazuri

    Wahuni sio Watu Nakumbuka Kulikuwa na mechi za kirafiki za mpira wa miguu Shule za secondary Arage,Southern Highland,Sangu nk Tukaenda kuuza sura kama kawaida Yetu wakati wa mapumziko Tukawa Tunapiga story na mchuchu flani ghafla Wanafunzi waliopinda ambao sijui alikuwa demu wao wakiwa wamelewa...
  13. sikuzamwisho

    GE2020 Makundi ya Mafisadi na yaliyohujumu CCM 2015 yaanza kujikusanya kwa kushinda kura za maoni yakijiandaa kutoa Rais 2025 kutoka kundi lao

    Nimekubali CCM ina wenyewe na wenyewe ndio Hao Wamerudi Prof Kapuya,January Makamba,Nape,Abass Mtemvu,Zungu,Ridhwan,Salma Kikwete,Magreth Sitta,Jerry Slaa nk sijui Utamkata Nani umuache Nani Wameshinda kwa kura nyingi mno
  14. sikuzamwisho

    GE2020 Dhana ya "mkono mtupu haulambwi" yaendelea kuonekana katika kura za maoni

    Kaka Umeongea kwa uchungu Mkubwa sana na Umewakilisha kilio cha Watu Wengi kwa tathmini ya haraka CCM ina wenyewe ndio Hao Wamerudi tena kwa kura nyingi Prof Kapuya,Magreth Sitta,Jerry Slaa,Mama Salma Kikwete,Ridhwan,Mtemvu nk Nilitegemea kuhesabu kura kwa uwazi ingewabeba Vijana lakini imekuwa...
  15. sikuzamwisho

    Uliza jambo lolote kuhusu Bahari na safari na vimbwanga vya Baharini

    Huu uzi Nashindwa kuelewa utamu unakuja utamu unakata ni mzuri kama mtoa mada angejibu papo kwa papo lakini anachukua muda na anajibu kiaina hata haijapendeza hopefully atajipanga upya kama alivyosema
Back
Top Bottom