Visa nilivyoshuhudia kwa ndugu yangu Mtaalam wa Tiba za Asili

Mkuu mbona najibu.mtaalam yupo hai..hapa siwez weka contact zake ila kwa ambao wamenifata pm nimewambia kesho saa nne asubuhi nawatumia..
Mkuu mbona najibu.mtaalam yupo hai..hapa siwez weka contact zake ila kwa ambao wamenifata pm nimewambia kesho saa nne asubuhi nawatumia..


Tumekuuliza baada ya kwenda huko kigoma
Nini kilifuata?Hujatujibu
 
Kuna mtu nilimkatalia kata kata kwamba yeye hawezi kuwa mbaya kiasi hicho maana tangu nakua najua ni mlokole yule wa kushinda fellowship na kuomba masaa yote. Sasa kumbe ni konkodi wa kutupwa kabisa. Huko makanisani ndo walikojifichia, wamevaa ngozi ya kondoo kumbe ni mbwa mwitu wakali kabisa
Sasa tunapokemea inasadia kweli angali maombi na vitabu vya dini wanatumia kama waumini wa kawaida?
 
Nilimuuliza swali hili hili, akanijibu angemtibia angekuwa kaanzisha vita kubwa wangeitana jeshi kupambana naye, naye hakuwa na sababu ya kupambana vita isiyomhusu. Akanipa kisa kilichomtokea miaka miwili kabla, aliletewa mgonjwa yani mke alimleta mume akiwa mgonjwa sana jamaa anadai akakaa pale anamtibia. Anasema kuna siku akaamka kama anaumwa yani kama kachanganyikiwa anagawa gawa nguo anatoa wosia kwa watoto wake, ilikuwa ijumaa. Anasema baadaye akaja kijana akamwambia anaitwa na mzee yuko kwenye gari kule chini. Alipoenda akaambiwa aingie kwenye gari, mzee kuingia akamkuta mzee flani.
Eti akamuuliza kwanini unataka kuniharibia kazi yangu, huyo ni mwanangu na mimi ndiye nataka kumtoa kwa ajili ya biashara zangu. Jamaa akamwambia ashakula pesa lazima amalize kazi, mzee akatoa chupa na glass nyuma ya kiti cha gari akamwekea maji akamwambia kunywa nijue kama unataka pambana nami au utaachana naye.
Jamaa akanywa nusu glass kumaanisha kuwa hataki shari, wakaachana, alivyofika kwake akamwambia yule mama na mme wake kuwa ugonjwa umemshinda hawezi kuutibu. baadaye akakusikia yule jamaa alifariki.
Khaaaaa🙄
 
Huu Uzi umenifungua macho maana ninayopitia ni magumu mno tangu mwaka jana Nilivunjiwa ofisi yangu nikaibiwa huku Mbagala Mwenye nyumba akanipeleka sehemu kwa Mtaalamu Sikufanikiwa chochote, Mzee mwingine akanipeleka sehemu nyingine aisee nimerudi nyuma kinoma from hero to zero yaani nimechakaa kupata kazi au hela ni mbinde nagongea mpaka elfu tano au buku mbili.

Kwa Mara ya kwanza nimeshindwa kulipa kodi wala kununulia watoto nguo za shule yaani acha tu, ndevu hizo yaani kibali sina kabisa Nimejifungia ndani mwaka mzima nasali, aisee sijui nimemkosea nini Mungu yaani Niliowazidi maisha wamenipita mpaka simu zangu hawapokei kwa mara ya kwanza naoga dawa za waganga.

Mtu ambaye nilikuwa nikiomba Mungu anajibu hapohapo yaani ebwana eeeh kelele za mwanamke sasa yaani imefika hatua Wanasema nitafia ndani, wale Wazee sijui wamenifanya nini yaani basi tu kushinda na kulala njaa kawaida Mtu ambaye nimesaidia Watu leo Nimefua yaani noma.
 
Mkuu.. Jitahidi ku keep your promise.. maana ulisema uko free.. mara umeenda kula.. najua utakulaaa weeee hadi Jioni..

Ikifika Jioni utasema umechoka.. utaendelea kesho...

Mwisho wa siku inakuwa boring story... kama mnakuwa hamko tayari kusimulia, basi acheni..

Kwa ushauri tuu... next time.. andika kwenye Microsoft Office.. ikiisha yote, copy na u paste hapa.
Au afungue site afu aweke link humu
 
Tukiachana na hii stori uchawi upo.

Nilikuwaga mbishi sana haya mambo, ila nikaenda kuishi mtaa flani naamka asubuhi nina kama mikwaruzo imelala sambamba kama mitatu.

Nikawa nadhani labda najiparua, hali ikaendelea, hadi nikaona kitu hakipo sawa, baada ya kufatilia ndio nikajua hizi ni chale za kichawi.

Hawa wajinga wamenichanja sana, yaani kuna kipindi siwezi hata kuwa makini na shughuli zangu nawaza tu haya madude

Yaani maeneo yao ni kwenye vidole, mkono, bega, kifuani, shingo, taya, , mh hawa watu wasikieni tu, washenzi sana sio kidogo.

madhara ya hizi chale nilichezewa macho, kitu kinaweza kuwa mbele yangu nikakitafuta mda mrefu sikioni kabisa hata nikiangalia kilipo baada ya mda ndio nakiona hapo nilipokitafuta, dah nlikuwa naogopa acha tu, kwenye kusoma sasa shida ipo, inabidi nisome mara mbili mbili, neno kama njoo nasoma usije, yupo nasoma hayupo, kaja nasoma hajaja, hata nisome kiingereza hali hii hii, nusu nichanyikiwe kwa mawazo, afu kesho yake unakuta naamka nina chale mbichi inatoa damu, ni kioindi kigumu sana niliwahi pitia.

Niliomba sana lakini wapi, mwisho wa mwaka flani wakati nikiwa na hali hii ilibidi tu niense kwenye matambiko haya ya ukoo, baada ya tambiko kuisha nilimfata muongoza shughuli nikmwambia nina tatizo, aliponisikia akasema ni tatizo la kawaida sana na lioi tangu zamani kabla hata babu zetu hawajazaliwa, Nilipewa dawa nikapona.

Hio sehemu niliyopanga kulikuwa na bibi mwenye nyumba na wajukuu zake wote wa kike wapo watatu miaka 18 hadi 27 hivi, ikifika alfajiri nilikuwa nawaona wanaenda bafuni kuoga, na pia walikuwa wanafuga paka na kuwapenda sana.

Kuweni makini aisee, na kitu kingine kwa tahadhari tu kama una pesa zako usijenge sehem za uswazi ili eti uonekane una nyumba nzuri, huo upuuzi unaweza kukutesa maishani
 
Mwaka 2011 nimemuuguza mzee..nikampeleka india..then south africa kote huko kwa miez minne mzee akawa bado hajapona natika kipindi chote hicho cha miez minne hapat choo lakn ananakula vizuri..
Hosp vipimo vikaonysha kaoza kila kitu,ndan.(mapafu,utumbo,figo,)lkn mzee nk,mzima..
Dr mmoja kule south akaniiita chamber ..huyu jamaa nk,mtanzania ila anabeba box huko..tukaongea sana..akaniuliza sana historia ya mzee.kishaakaniambia huku utapotrza hela mrudishe home mkaangaloe tiba za asili ..maradhi ya mzee sio ya kawaida
Nikaarange safar tukarud bongo..nikafikia lugalo hosp..mzee akalazwa tena hapo..mda wote huo nilikiwa siamin kama mzee karogwa..siku moja akaja rafiki yangu kunisalimia ila akaambatana na jamaa yake mmoja wakaja had hosp..kufika yule jamaa yake rafiki yangu alipomuona mzee akaguna kwa nguvu kiaha akatoka nje..sikijali sana ila nikanote kitu..badae akarudi..akawa kimua mda wote..
Walipotoka nikawasindikiza kidogo jamaa yule akankambi naomba bro naomba naomba namba yako ntakuchek..
Kesho yake akanichek akaomba tuonane ..tukaonana..akaniambia mkuu wewe umekuloa bongo hii..asilibyenu wapi..kwa kifupi akaniambia mbona pale baba hayupo kile ni kivuli..yule sio mtu..unauguza kitu kingine..niliogopa sana..akanishauri anipeleke kwa mdogo wake ni mtalam wa tiba asili..nikamtoa mzee hosp nikamuacha bunju kwa bro..nikasepa kigoma..
To cut thw story short ..mzee wangu alirogwa na kule kwa mtaalam nikaona chain nzima waliohusika na mganga akasema tumeshachelewa na mzee ..tar 14 dec mzee akafa..nikapeleka mwanza kwetu tukazika..baada ya siku mbili nikasafiri nakuondoka mwanza kurudi kigoma..nikakaa kule kwa wiki tatu..nikafanya jambo ambalo sikuwahi kulipanga katika maisha..KISASI KIKUU..
Niliemjulisha na anaejua jambo hili ni kaka yangu mkubwa tu..wengine wote had kesho hawajui..
Wachawi washenzi sana..
Pole sana ndugu.
 
Huu Uzi Umenifungua macho maana Ninayopitia ni magumu mno tangu mwaka jana Nilivunjiwa ofisi Yangu Nikaibiwa huku Mbagala Mwenye nyumba akanipeleka sehemu kwa Mtaalamu Sikufanikiwa chochote,Mzee mwingine akanipeleka sehemu nyingine aisee Nimerudi nyuma kinoma from hero to zero yaani Nimechakaa kupata kazi au hela ni mbinde nagongea mpaka elfu tano au buku mbili kwa Mara ya kwanza Nimeshindwa kulipa kodi wala kununulia watoto nguo za shule yaani acha tu Ndevu hizo yaani kibali sina kabisa Nimejifungia ndani mwaka mzima Nasali aisee sijui Nimemkosea nini Mungu yaani Niliowazidi maisha wamenipita mpaka simu zangu hawapokei kwa Mara ya kwanza naoga dawa za waganga Mtu ambaye Nilikuwa Nikiomba Mungu Anajibu hapohapo yaani ebwana eeeh kelele za Mwanamke sasa yaani imefika hatua Wanasema Nitafia ndani Wale Wazee kumamae zao sijui wamenifanya nini yaani basi tu kushinda na kulala njaa kawaida Mtu ambaye Nimesaidia Watu leo Nimefua yaani noma.

Hao waliokupeleka Kwa wataaalm ndio waliozidi kukuharibu..

Rule no1 usipelekwe na mtu Kwa mtaalam
Hujui wamekubaliana waje wakufanyie nini..

Kama shida zako zilianza ulipohamia hapo
Cha kwanza kabisa hama hapo
 
Back
Top Bottom