Wahuni siyo watu wazuri

Wahuni siyo watu wazuri

Hiki kitabu niliwahi kukisoma. Dogo akaniniibia.
Mtuzni wake yule wa Tanga
 
Nimependa uandishi wako. Nimecheka sanaa
 
Wahuni sio Watu Nakumbuka Kulikuwa na mechi za kirafiki za mpira wa miguu Shule za secondary Arage,Southern Highland,Sangu nk Tukaenda kuuza sura kama kawaida Yetu wakati wa mapumziko Tukawa Tunapiga story na mchuchu flani ghafla Wanafunzi waliopinda ambao sijui alikuwa demu wao wakiwa wamelewa na wanavuta mmea Wakatufananisha na Izzo B enzi hizo anajina sana Mbeya siwezi kusahau ghafla Tulizungukwa na Wahuni kibao ambao ni Wanafunzi Tulipofanikiwa kuondoka katikati njiani jamaa Wakatuungia tena Tukakimbilia nyumba flani mitaa ya Block T kuna Mwana Tukamkuta njiani akatuingiza kwao Siji kusahau Wahuni Wanafunzi ni nyok.. walizunguka nyumba na kutishia kuvunja vioo Tulisali kila sala mpaka Mwana akatutoa ndani Tukazungukwa na Wahuni kibao lakini kama zari majirani wakaja kutuokoa muda huo Tushapigwa mayai viza ya kutosha.Wahuni sio Watu wazuri
 
Kama masihala ila ukiingia kwenye kumi na nane zao nambo yanakuwa magumu
 
Hii piga ua ilikuwa shule ya kata. Yaani mnaamua tu muondoke shuleni mpite mtaa wa kwanza wa pili fresh tu!!! Ila story poa Sanaa, Mambo kama hya yalikuwa Shule moja huko Mwanza. Jamaa walikuw wanaitwa Bush runers
 
Back
Top Bottom