Recent content by sikuyaja

  1. S

    Kutoa Manii nyingi kwa wakati mmoja

    Naombeni msaada maana mara nyingi nnapokua nafanya sex na mwanamke nifikapo mwisho namwaga shahawa nyingi sana ambazo zinanifanya nisipate hamu ya kurudia tendo tena ndani ya muda mfupi. Nashindwa kujua nini chanzo cha tatizo hili na tiba yake ni nini. Imekua kero pia kwa partner wangu maana...
  2. S

    Mjue Shabani Gurumo, rafiki na kipenzi wa mkuu wa kaya

    Wakuu tumekwisha. Umaskini wa Wa Watanzania kwa asilimia kubwa unasababishwa na CCM na serikali yao. Hakika tusikubali kudanganywa na akina mwigulu na wenzao maana wao si wenzetu, wangekua wenzetu wasingetuhubiria amani na upendo wakati wanajua ujinga tunaofanyiwa. CCM ikapumzike. Nanyi...
  3. S

    Mwanaume mwenye mapenzi ya kweli,mrefu,mweusi na handsome asome hapa!

    Unaishi wapi miniko vingunguti
  4. S

    Mwanaume mwenye mapenzi ya kweli,mrefu,mweusi na handsome asome hapa!

    Namaanisha uko tayari kuolewa bila kula uroda kwanza?
  5. S

    Mwanaume mwenye mapenzi ya kweli,mrefu,mweusi na handsome asome hapa!

    Nikweli uko tayari kuolewa ya mahusiano?
  6. S

    Mwanaume mwenye mapenzi ya kweli,mrefu,mweusi na handsome asome hapa!

    Natamani nikuone cjui itawezekana?
  7. S

    Yafahamu majina ya utani ya wachezaji wa zamani tanzania

    40.Zamoyoni Mogella-Golden boy/DHL 41.Razak Yusuph-Carecca 42. thomas Kipese-Uncle thom 43.kelvin Yondan-Vidic
  8. S

    Hii ndiyo CV ya Idd Azzan

    hiyo ni kweli mkuu lakini wanafanya hivi kwa manufaa ya nani? Mbunge kama huyu Bungeni atafanya nini, atahoji mkata ulioandikwa kwa lugha ya kisheria? au atabaki ndioooooooooooo kila kinachosemwa? hata hiyo akili ya kupambanua chuya na mchele atakuwa nayo? Ifike wakati katiba mama ibainishe...
  9. S

    Wanawake na style mpya ya kujifungua

    kuna wengine wanasababu ambazo labda madaktari wanaweza wakathibitisha, kwani kuna mdada mmoja ni family friend nami anadai kuwa kujifungua kwa operation kuna faida mbili mhm kwake! 1:mtoto atakuwa brighter si kama aliyezaliwa kwa njia ya kawaida (bila operation) 2:Ile makitu itabaki tight hivo...
  10. S

    Dr. Slaa: Niko tayari kula mihogo Ikulu

    ww kwa akili yako KUPANGA NA KUJENGA YA KWAKO NI KIPI GHALI? Ndo maana ww ni wakala wa Magamba, wote akili zenu zina matatizo. Kwani umeambiwa Chama kitakufa kesho? Inabidi uwe mweu ndo ukisapoti chama cha magamba kwani kilichowafanyia waTZ na kinachoendelea kuwafanyia ni udhalimu mtupu. ni...
  11. S

    Maaskofu waipinga CHADEMA...

    Mpe Hongera sana ila kama mtu wa Mungu na anayetakiwa kuwaongoza watu watende haki awaambie hao anaowapigia debe waachane na Green Guard badala ya kufuatilia Chadema. Viongozi wa dini inabidi wakemee vitendo viovu vinavyofanywa na serikali iliyopo madarakani ili haki itendeke na si kuvifuatilia...
  12. S

    CHADEMA yawanasa Lowassa, Mwigulu

    waache wahangaike, hizo ni hela zetu walizoiba kupitia Richmonduli na symbion, pokeeni wanazirejesha kwa mtindo tofauti. Mwanza si Monduli kwamba wananchi watabadilika waende Magamba na wala si Bagamoyo, Mwanza ni kwa wajanja na si makanjanja! Ila tu wawe makini na wake zao kama Nchemba naye...
  13. S

    DEO FILIKUNJOMBE; ziara ya OBAMA ni ukoloni mambo leo!!

    ingekuwa vema ukataja gharama ya hiyo misaada uliyoitaja. na Watanzania tunapenda mtuwekee wazi terms za hiyo mikataba mnayoingia kwa niaba ya Watanzania ili nasi tujue cons na prons zake. raslimali ni za watanzania mnaingia mikataba inakuwa ya siri hata kwa wenye raslimali! Mnajua mikataba...
  14. S

    Idara ya Uhamiaji ni janga kwa Taifa hili!

    ina maana mtu yeyote anapozaliwa nchini anakuwa raia wa nchi aliyozaliwa? anaweza kuwa amezaliwa nchini wakati wazazi wake walikuwa hawajapata uhalali wa kuishi humu au walikuwa wamekuja kutalii! nafikiri uende zaidi utwambie wazazi wake ni Watanzania na si kwamba alizaliwa Tanzania
  15. S

    Mwanaume mwenye mapenzi ya kweli,mrefu,mweusi na handsome asome hapa!

    tupe pia umri dadaa! usije ukawa unaelekea uzeeni
Back
Top Bottom