Dr. Slaa: Niko tayari kula mihogo Ikulu

Mkuu ebu sema ukweli, oparation sangara haijawaumiza ccm kanda ya ziwa? Unaonaje matokeo ya oparation okoa kusini, hujashtuka? Sasa ni M4C kila mahali lazima chupi ziwabane.
 
atakayegombea uraisi kupitia haden=ma ni wenje ndo aliyejitangaza ahana na dr
 
msipoongea kuhusu dr slaa hampati usingizi? Endeleeni kubwabwaja magamba dakt amewapiga pini kwenye masabri yenu
 
HAMY -D ndugu yangu unapoteza muda wako, DR. Slaa humumuwezi kwa cheapest arguments kama hizi, nakushauri uwe unashirikiana na wenzako wa Lumbumba kuung nguvu walau tengeneza kitu ambacho kinaleta mantiki masikioni mwa watanzania.
 
Hammy D! Sisi ni Chadema wewe ni CCM! mambo yetu ya ndani yanakuhusu nini? Hivi Mwenyekiti wenu si aliwaambia msitegemee polisi tena! hoja za kisiasa zikajibiwe kisiasa? sisi CDM hoja zenu gambaz tunazijibu kisiasa. Kwenye mechi juzi Arusha nyie mliingia na kandambili sisi tulitinga njumu matokeo 4 bila! mmeacha kutii kauli ya Mwenyekiti wenu mmeamua kuitumia vise vesa. Naona policcm wamekuwa suicide bombers siku hizi.
 
Vile unavyo muona Dr,Slaa na CDM yake,ndivyo wana CDM wanavyo kuona wewe(HAMY-D) na CCM yako.Nakushauri uje na mbinu zingine au kajipange upya! Bosi wako Nchemba ameukubali muziki wa CDM huko Arusha chini ya uongozi wa Dr,unayemtuhumu,sasa sijui ni utovu wa nidhamu au nikukosa maadili ya kimalezi au?
 
Kwa jinsi mlivyobanwa na Dr safari hii mtalipua sana mabomu kwa bahati,lakini siku si nyingi mtakuwa ICC!!!
 
Dr ni msanii tu. Waingereze wanasema Charity begins at home, sasa iweje mzee wetu anababaisha watu eti yupo tayari kula mihogo wakati saivi akamata mshahara wa mil 7 kwa mwezi. Huu ni ujanjaujanja wa kuwahadaa watanzania.
 
Safari zake na mchumba wake MSHUMBUZI kila siku ISRAELI, JAPANI na UJERUMANI haoni kama ni matumizi makubwa sana.
 
Umeandika maneno mazito tena ya ujenzi, umeelezea vizuri usanii wa Dr Slaa.
 
Mmoja kat ya ma-MC (msema chochote) wa JF.
Huwa si comment kwenye threads za huyu jamaa maana kiukwel kachoka kama PM wake.
 
ww kwa akili yako KUPANGA NA KUJENGA YA KWAKO NI KIPI GHALI? Ndo maana ww ni wakala wa Magamba, wote akili zenu zina matatizo. Kwani umeambiwa Chama kitakufa kesho? Inabidi uwe mweu ndo ukisapoti chama cha magamba kwani kilichowafanyia waTZ na kinachoendelea kuwafanyia ni udhalimu mtupu. ni wachache kama ww na wenye akili za ww ndo hamuyaoni. Yanayofanywa na CHADEMA ni kuwaamusha waTZ watoke kwenye usingizi waliolazimishwa kusinzia na Magamba kwa kufunikwa shuka ya AMANI
 
HAMY -D ndugu yangu unapoteza muda wako, DR. Slaa humumuwezi kwa cheapest arguments kama hizi, nakushauri uwe unashirikiana na wenzako wa Lumbumba kuung nguvu walau tengeneza kitu ambacho kinaleta mantiki masikioni mwa watanzania.

Huyu Jamaa HAMY-D yeye kaajiliwa fulltime Lumumba kwa hii kazi. Kazi aliyopewa ni kuhakikisha Kila siku lazima aje na thread ya Dr. Slaa.
 
Back
Top Bottom