We Solokondo, mbona unaongea kama umetumwa na mtu, siamini kama kuna mtu mwenye akili timamu na ubinadamu juu, akaongea maneno kama hayo.
Yule bwana anaumwa hasa, na si ugonjwa wa kawaida, mwenzio akinyolewa wewe tia maji kichwa chako.
Kumbuka iko siku yanaweza kukufika wewe, lakini...