Lowassa aonja nguvu ya CHADEMA Tunduma

Lowassa aonja nguvu ya CHADEMA Tunduma

Chezea Tdm wewe Ccm lazima watambue kuwa hawana ushawishi hata wakimwaga hela wananchi wameamka siku hizi
Kuna maeneo hawajaamka. Vijibweni walipomwagiwa milioni 40 toka Ikulu, wakapitisha diwani wa CCM. Bado kuna vichwa vya wendawazimu ambao njaa zinawasumbua. wakiishapokea, lazima watoe kura. wanasahau kuwa hela hizo wanazzogawiwa ndizo baadaye zinaonekana kwenye ripoti ya mkaguzi wa hesabu za serikali kama matumizi yasiyo na viambatanisho!!

Tuendelee kuwaelimisha watanzania

Quality
 
wamepiga sarakasi huku wamevaa taulo sasa wako uchiii wa mnyama.CCM hoi, hoiiiiii.......
 
Mji wa Tunduma jana ulichafuka baada ya Waziri mkuu aliyejiuzulu Edward Lowassa kulakiwa na umati mkubwa wa wafuasi wa CDM waliokuwa wamejipanga kando kando ya barabara.Wananchi hao walikuwa wakipiga miluzi kwa sauti kubwa na kuonyesha alama ya vidole viwili juu ishara ya chama hicho.
Lowassa alikuwa akienda kwenye harambee ya ya kanisa la EAGT ambapo alichangia sh milioni kumi.
Kutokana na sintofahamu hiyo kulikuwa na ulinzi mkubwa wa polisi ambapo Lowassa alikuwa na msafara mkubwa wa viongozi wa serikali na chama cha mapinduzi.Kutokana na hali hiyo Lowassa alichelewa kufika kwa wakati kwenye harambee,kwani aliwasili saa 8 mchana badala ya saa 5 asubuhi.
Akizungumza kwa kifupi na waandishi Lowassa alisema alipata majaribu makubwa safarini lakini Mungu alimfikisha salama.Alidai alisaidiwa sana na mkurugenzi mstaafu wa usalama wa Taifa Apson Mwang'onda.

SOURCE:NIPASHE JUMAPILI.

Apson Mwang'onda ni tu wake sana huyo kibaka, kwa hiyo lazima amsaidie!!
 
huyo lutone ni mrusi nini? yani anashangaa kuwaona magamba ya kobe yanazomewa? au huyu jamaa si mtanzania? ata magamba wenyewe awashangai gamba moja likizomewa maana wanategemea hilo! NA MUOMBA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI JF AFATILIE URAIA WA HUYU NDUNGU ANAESHABIKIA MAGAMBA INAELEKEA SI MTANZANIA HUYU ATAKUWA MRUSI.
 
sikubaliani na wewe,,,uhoi ni upi,,,,mtandao wao unaujua vyema,,,,,,sema watu wameanza kuelewa na kujaa ujasiri inasaidia lakin hakuna kujifariji hapo,,,,ghasia aliwahi sema hatishiwi nyau kuwa mtandao alojenga miaka ivurugwe na lipumba kwa siku tatu,,,,merry nagu akasema hawezi vurugwa na mbowe kwa ziara ya chopa ya siku moja,,,atavuruga ataondoka anabaki na watu wake,,,,,,,,cdm,,,,inavyokua kwa kasi,,,iajiri vijana wasomi,,wanasiasa jasiri,,wawe makatibu watendaji wa majimbo,wawezeshwe,,wajenge mfumo imara wa chama kila jimbo,,,waigawanye nchi katika majimbo ya kichama,,,kama sera ilivyo,,,,,,,wale vingozi wa kitaifa wagawanywe wakaongoze majimbo hayo,,,,magavana wa kichama,,,,,ili kutoa nafasi ya kurecruit wengine na kuwafunda kuwa wafia chama,,,,,na kutoa nafasi zaidi za wapambanaji kuwa utilized,,,,,,na hq kuto banch na kukosa kazi na migogoro kuibuka,,,,,,mie si jabobea ni ushauri tu,,,,,,,,,,,,,,:help:

ukombozi wa taifa hili hautoletwa na hizi siasa peke yake, wananchi inabidi wajishirikishe katika vyama tofauti vya kijamii katika kutetea maslahi yao. Hii ndiyo maana ya demokrasia halisi na ndiyo imeleta maendeleo nchi zingine na siyo siasa shabiki za vyama vya siasa pekee.

Community based organizations na strong civil societies zitawabana wanasiasa kufanya kile wanachokisema na wananchokiahaidi...si CCM, CDM, NNCR wala nani hawa wote ni wanasiasa na wakiachwa peke yao (huku sisi tukiwa ni wapiga kura tu), tutaweka hatma ya taifa katika mikono ya wanasiasa peke yake na hii siyo demokrasia ya ukweli, na wala haina tija na maendeleo ya kweli ya taifa hili.
 
Amke wewe uliyeye lala miaka na miaka, tofauti kati ya watu na wezi inakuwa ngumu sana kwako, hujui kiswahili au sio mtz? mwizi huku kwetu huchomwa moto tena hata uibe kimeo, kuku, nguo etc, japo sio haki kisheria lakini ndo mob justice, alipaswa kuchomwa moto na kupigwa mawe ana bahati kazomewa tu.
 
seriously this not the pay back we would expect from him. let me tell you mr lowassa originated from the brooder of all ccm hooligans including jk himself. to me what he is doing is tantamount to nothing rather i think he is cultivating and promoting popularity for his own fate as a future presidential candidate in the 2015 general election. EL IS A VERY CLEVER GUY . YOU KNOW JK DID THE SAME AND THE SAME SAME ORGANISATIONS WERE ENGAGED IN HIS PROMOTION PROGRAMMES. IT WAS DURING THIS TIME THAT J.K USED TO OFFICIATE LAUNCHING OF DVDS FOR SOME CHURCH CHOIRS ONLY THAT WE ARE SO FORGETFULL. AT ANY RATE LOWASSA IS USING THE SAME TRICKS PROBABLY IT WILL WORK FOR HIM THE SAME WAY
 
Kama huelewi hiyo nayo ni feedback mojawapo kwamba wamechoshwa na utawala wao.
Na kwa taarifa yako sisi em hawana ujasiri wa kuzomea hata kidogo. Waanzie wapi wakati bilioni kibao zinafujwa kila siku?
Huu ni mfano halisi wa "Ukweli utawaweka huru"!
 
Chadema ina kundi kubwa la vijana wasio wastaarabu na wengi ni wavuta bangi na madawa ya kulevya na sasa wanangoja chadema iingie madarakani ili wapewe ajira na kuruhusiwa kuvamia migidi na kuiba madini......ole wenu chadema mje mshindwe kuwapa hawa wahuni matarajio yao mkiingia madarakani

na uvutaji bangi umesababishwa na maisha magumu, kiasi kwamba wazazi wao walishindwa kuwapeleka hata shule au kumalizia ada... OLEWENU CCM maana tumeweka bangi za kutosha baada ya CDM kupata uongozi tutapulizaaa weee na hakutakuwa na Kinga ya Rais au ya Spika... tutakuambieni Chagua MOJA SEGEREA au Kukuchoma moto hata kukuvua nguo utembee uchiii.. tusha Chizi na Mibangi sisi... Mnauza nyie na madawa ya Kulevya mnatuuzia Nyie ... Tatizo likowapi??
 
Mji wa Tunduma jana ulichafuka baada ya Waziri mkuu aliyejiuzulu Edward Lowassa kulakiwa na umati mkubwa wa wafuasi wa CDM waliokuwa wamejipanga kando kando ya barabara.Wananchi hao walikuwa wakipiga miluzi kwa sauti kubwa na kuonyesha alama ya vidole viwili juu ishara ya chama hicho.
Lowassa alikuwa akienda kwenye harambee ya ya kanisa la EAGT ambapo alichangia sh milioni kumi.
Kutokana na sintofahamu hiyo kulikuwa na ulinzi mkubwa wa polisi ambapo Lowassa alikuwa na msafara mkubwa wa viongozi wa serikali na chama cha mapinduzi.Kutokana na hali hiyo Lowassa alichelewa kufika kwa wakati kwenye harambee,kwani aliwasili saa 8 mchana badala ya saa 5 asubuhi.
Akizungumza kwa kifupi na waandishi Lowassa alisema alipata majaribu makubwa safarini lakini Mungu alimfikisha salama.Alidai alisaidiwa sana na mkurugenzi mstaafu wa usalama wa Taifa Apson Mwang'onda.
Hizo ni ngurumo tu bado Kyela wanamsubiri, hizo pesa za kifisadi zitamuua na hicho kiharusi chake.....
 
Tunduma ni kitu ingine, usipime mwanangu. We sikia tu ukiona utakimbia hakuna kiongozi wa magamba wa ngazi yoyote bile kujali kiasi cha ulinzi alio nao anaye ogopwa. Wafuatao wanaweza kukusimulia vema kuhusu Tunduma.

1. Jakaya Mrisho Kikwete 2. Mama Salma kikwete (Shemeji) 3. Dr. Mohamed Gharib Bilal 4. Shamsi Vuai nahodha 5. Mkuu wa mkoa Abas Kandoro 6. Mkuu wa wilaya Gabriel Kimolo 7. Mkurugenzi wa mji Aidan Mwanshiga
 
Back
Top Bottom