Shellukindo adaiwa kuongoza uasi CCM

Kwa hali ilivyo sasa ndani ya serikali na CCM chochote utakacho umba ni rahisi ku assume kwa kuunga dot na zikakubali
Tutasikia mengi
 
Inadaiwa kuwa Beatrice Shellukindo aka Jairo mbunge wa kilindi anaongoza uasi ndani ya wabunge wenzake wa CCM ili kuikomoa serikali kwa kuwa amenyimwa uwaziri.Shellukindo alikuwa na matarajio makubwa sana kupata uwaziri,alipoona ameukosa ameamua kula sahani moja na wale waliopo madarakani.

washirika wake ni ole sendeka,Ane kilango,mwakyembe na Sitta.

My take.hii ni chuki na hila ya kutaka wakose wote.

Siyaamini sana maneno yako, kama serikali iliyopo madarakani ingekuwa inafanya mambo ya muhimu kwa wananchi wake, kelele zote hizi wala zisingekuwepo, lakini kadri tunavyoona hali ya uchumi, na maisha yanavyozidi kuwa magumu kwa wananchi, hii ni dalili tosha kabisa asemayo mama Shelukindo si chuki sababu kanyimwa uwaziri, au wewe ndugu yangu hali tuliyonayo sasa hivi nchini kwetu unaifurahia?Tanzania kwanza itikadi badae
 
[Inadaiwa kuwa Beatrice Shellukindo aka Jairo mbunge wa kilindi anaongoza uasi ndani ya wabunge wenzake wa CCM ili kuikomoa serikali kwa kuwa amenyimwa uwaziri.Shellukindo alikuwa na matarajio makubwa sana kupata uwaziri,alipoona ameukosa ameamua kula sahani moja na wale waliopo madarakani.

washirika wake ni ole sendeka,Ane kilango,mwakyembe na Sitta. My take.hii ni chuki na hila ya kutaka wakose wote.]

Hoja hii haina mshiko, huyu mama hawezi kushirikaina na hao uliowataja kwani siyo kundi lake, huyo yuko kundi la Lowasa, ila ni kweli kwamba anafanya kazi ya kumwadhibu Kikwete kwa kutumiwa na huyo bwana, kumbuka alishawahi kusema kuwa rais ajae ni Lowasa kwa kumnukuu nabii mmoja wa Naijeria alikokuwa amekwenda huyo bwana kusafisha nyota yake. Hata kumsurubu Jairo ilikuwa ni mpango wao kwani walisikia tetesi kuwa ndiye anaandaliwa kuchukua nafasi ya Luhanjo. Sidhani kama huyo EL haumo katika sakata hili la mgomo wa madaktari!! wana JF lifanyieni kazi hilo najua anachekelea sebuleni kama siyo chumbani.

Mkuu mwanzoni walikuwa wote!
 
  • :lol::tongue::eyebrows:
    • A%20S-coffee.gif
      all the best mama

jambo leo naona hawataki ukweli na pia kuna siri kubwa kuhusu jambo leo na wizara ya afya ndio maana wanamshambulia mama shellukindo tupo pamoja na mama pia tuulize pesa za matangazo ya utalili uk zipo wapi utalii kwa wakuu wa jambo leo matangazo hewa ya dola laki tatu yaliwekwa wapi uk
 
Inadaiwa kuwa Beatrice Shellukindo aka Jairo mbunge wa kilindi anaongoza uasi ndani ya wabunge wenzake wa CCM ili kuikomoa serikali kwa kuwa amenyimwa uwaziri.Shellukindo alikuwa na matarajio makubwa sana kupata uwaziri,alipoona ameukosa ameamua kula sahani moja na wale waliopo madarakani.

washirika wake ni ole sendeka,Ane kilango,mwakyembe na Sitta.

My take.hii ni chuki na hila ya kutaka wakose wote.

shellukindo na akina sitta wapi na wapi hebu tuondolee upuupu
 
Kimbunga said:
Mkuu mwanzoni walikuwa wote!

Nimekupata mkuu, ila wakati huo mzee Shelukindo akiwa mwenyekiti wa kamati ya Nishati na madini alikuwa pia na kundi hilo la wapambanaji, nguzo zilipoanguka naye kageuza kibao hasa baada ya kusaidiwa kupata ubunge na EL, nakumbuka hadithi ya paka kukaa jikoni na akinamama kutoka porini akiishi na tembo hadi kuja kung'ang'ania majumbani tena jikoni, ndo kilichotokea kwa huyu mama, sasa kaona mwenye nguvu ni EL.
 
Inadaiwa kuwa Beatrice Shellukindo aka Jairo mbunge wa kilindi anaongoza uasi ndani ya wabunge wenzake wa CCM ili kuikomoa serikali kwa kuwa amenyimwa uwaziri.Shellukindo alikuwa na matarajio makubwa sana kupata uwaziri,alipoona ameukosa ameamua kula sahani moja na wale waliopo madarakani.

washirika wake ni ole sendeka,Ane kilango,mwakyembe na Sitta.

My take.hii ni chuki na hila ya kutaka wakose wote.

kumbe jambo leo??????khraaaaaaaaaaaa muda wangu jamani siningeenda kukojoa!
 
Huyu mama mbona kigeugeu!!mifano ya kigeugeu chake ni kama ifuatavyo,mwanzo alikuwa anampinga lowasa,mara akatangaza rasmi kuwa yupo kambi ya lowasa,akaibua suala la jairo lakini lilipoletwa bungeni akaanza kutetea tena,sasa ameanza na singo ya kikwete apigiwe kura ya kutokuwa na imani naye,na anaendeleza uasi dhidi ya serikali,kisa posho!!siku akiwekwa kati ajieleze ataanza kutafuta mlango wa kutokea!!nec ya tarehe 12 tunaomba ajieleze kama anao ubavu wa kujisimamia,na wanaomuunga mkono nashindwa kuelewa uwezo wao make mwisho wa siku watakosa maelezo.
Mkuu wewe ulitegemea nini toka wanasiasa wa kiTanzania?
Kwani ukigeu geu umeanzia kwa huyo mama, au ndo mwendelezo wa hali ya kisiasa isiyoeleweka nchini?
 
hana lolote mnafiki huyo ccm vigeugeu anapigania posho yake na deni la bank linamsubiri,wamkamate tu.poshooooooooooooooooooooooooooooo
 
Inadaiwa kuwa Beatrice Shellukindo aka Jairo mbunge wa kilindi anaongoza uasi ndani ya wabunge wenzake wa CCM ili kuikomoa serikali kwa kuwa amenyimwa uwaziri.Shellukindo alikuwa na matarajio makubwa sana kupata uwaziri,alipoona ameukosa ameamua kula sahani moja na wale waliopo madarakani.

washirika wake ni ole sendeka,Ane kilango,mwakyembe na Sitta.

My take.hii ni chuki na hila ya kutaka wakose wote.

Huna hoja mbona Sitta na Mwakyembe ni mawziri na wanaichahcafya Serikali? Shelukindo hayuko kundi moja na Ole Sendeka na wenzake alishahamia siku nyingi kwa WHITE HAIR baada ya kupata Unajimu Nigeria jamaa anaweza ukwaa u prezidaaa katika nchi ya kusadikika na yeye anaweza pata Uwaziri huko
 
Hilo linawezakana maana kundi la wanaojiita wanaharakati linaidaiwa ni kisasi cha kutoswa kwenye madaraka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom