Recent content by sigienet

  1. S

    JamiiForums Tanzania Picha:Desemba hiyoooo wenye waume jiandae kulia!

    Safari ya Mbeya,,,,,,,,,, inaishia Mbezi
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mume wa mtu afia nyumba ya wageni(guest house) akiwa na mke wa mtu wakivunja amri ya sita:

    My take. Bwana Kayange unamnywea mke wa mwenzio vidonge? MUNGU amekuona nenda kajibu Kama vile nakuona unavyoitamka sentence hii kwa uchungu!
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mhudumu wa stationery-malimbe (mwanza)

    Upon expansion, nitakufikiria!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mhudumu wa stationery-malimbe (mwanza)

    A newly established stationery at Malimbe (Saut) is looking for a young lady as an attendant. Stationery ina mazingira mazuri ya kufanya kazi pamoja na vitendea kazi bora. Sifa: Awe msichana kati ya miaka 18-24 Awe anaishi jirani na Chuo kikuu SAUT (Umbali wa upanda dala dala moja tu) Awe...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Picha ajari ya Mbeya iliyo ua 13

    Wapumzike kwa amani-AMEN
  6. S

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Sauti Huru: CHADEMA Asili mbioni kusajiliwa!

    Kijana wa N*pe.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Electrical Contractor, Urgently need in Arusha.

    ANAHITAJIKA CONTRACTOR WA UMEME ALIYEIDHINISHWA NA TANESCO-ARUSHA. MWENYE UWEZO WA KUFANYA KAZI KWA UHARAKA NA UFANISI. MWENYE UTAYARI WA KUFANYA MRADI KATI YA NGUZO MOJA HADI MBILI katika eneo la Moshono TENA KWA GHARAMA NAFUU. KWA ALIYE TAYARI PIGA 078 n.b Kama kuna mdau mwenye taarifa za...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Operation za chadema hazina mashiko

    Tazama hiyo red, mtu haitaji degree ili kujua pale Chadema Square havikuwa vikundi tu, BALI MULTITUDE YA WATU. VUA MAGAMBA KWENYE MBONI ZA MACHO, INAWEZEKANA ZIMEKUKINGA USIONE VIZURI.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mnyika ashinda kesi dhidi yake; Hawa Nghumbi atakiwa kulipa gharama za kesi!

    Shukrani kwa ubunifu ktk kuripoti tukio zima.
  10. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yavunjavunja ngome ya CCM Same

    huoni aibu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Una jora la t-shirt za kijani na njano home?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mratibu TASAF atoa kali ya wiki, madera muwe macho na mabosi.

    Huyo bosi achunge sana.............. madereva wengi wa serikali ni usa.l..ma wa taifa.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Darasa la saba aukwaa u-DC

    darasa la saba ana exposure gani? Acha kutetea mfumo usio kuwa na tija kisa mbona flani alifanya hivi. Yale yale ya posho za wabunge.............. oh mbona Tanapa wanalipwa sana hamsemi! Badilika.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa nishati..anza na hili Arusha!

    Kuna adha ya upungufu wa MITA za luku pamoja na nguzo. Imekuwa ni kupokezana, mwaka jana taarifa ktka ofisi za Tanesco mita zilikuwa haba. Cha kushangaza mwaka umeanza, wateja wote wahaohitaji nguzo hawapatiwi huduma. Ni miezi sasa imepita. Tumechoka kusubiri................. Anza na hili.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuondolewa Uwaziri, Ngeleja akamuombe Msamaha mlinzi wa benki aliye mfukuzisha kazi

    wapo wengi waliokuwa wakila kwa mgongo wake! Si wote waliao msibani wanamlilia marehemu! Kuna kila dalili ulikuwa ukinufaika na matunda ya nafasi yake........................ Utaisoma.
Back
Top Bottom