Mratibu TASAF atoa kali ya wiki, madera muwe macho na mabosi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mratibu TASAF atoa kali ya wiki, madera muwe macho na mabosi.

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Nairobifly, May 11, 2012.

 1. N

  Nairobifly Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Ni mratibu wa tasaf wilaya ya Ngorongoro. Wakiwa ktk harakati za kuanza safari toka Karatu kwenda Ngorongoro dereva alimwomba bosi wake wapitie gereji kabla ya kuanza sfr ili kurekebisha matatizo madogo kwenye gari. Baada ya kufika gereji dereva alikabidhi gari na ufunguo kwa fundi, bosi wake akiwa ndani na yeye kutoka kidogo. Marekebisho ya gari hayakuwa makubwa hivyo fundi alimaliza kazi yake mapema. Bosi alikaa takiribani nusu saa akiwa anamsubiri dereva wake bila mafanikio na pia alikuwa hapatikani kwenye simu. Baada ya kuona hivyo akachukua uamuzi wa kuondoka na kumuacha dereva yule. Kilichofuata baada bosi kuondoka ni kwamba dereva ilibidi atafute usafiri private wa kwenda Ngorongoro. Taarifa zinilizopata hivi punde ni kwamba dereva yule amemburuza bosi wake polisi kwa kitendo cha kuchua gari bila ridhaa yake. Je,wandugu kati ya wawili hawa yupi mwenye makosa? Source:nimeshuhudia mwenyewe
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Uyo bosi has to be careful dreva mwenye Kibri kama huyo kuna kitu apo sio bure.
  Either bosi sio msafi au dreva ana back up ya wakubwa
  Uyo dreva asingeenda uko kama bosi wake asingekuwa na mipango ya kwenda uko.
  For the sake of time mgt bosi alikuwa right ingawa dreva ndo yuko responcible na gari
   
 3. N

  Nero Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Duuuh!hii kweli kali ya wiki, kwa mimi sina jibu napita tuu, ngoja wachambuzi wa mambo waje tuone. Nitarudi later
   
 4. s

  sigienet Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo bosi achunge sana.............. madereva wengi wa serikali ni usa.l..ma wa taifa.
   
 5. h

  hospitalwasso New Member

  #5
  May 11, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyu dereva ana kibur analindwa na mabos akiwa krt yeye na malaya tu licha ya kuwa na wake 3 hawamtoshi dawa yake kumpiga kijiwe au kama kuna gerej hapo afanye kaz gereji!!
   
 6. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Huyo si dereva,anawezaje kumuacha bosi alinde gari yeye aende kwa mwanamke?
   
 7. b

  buswe Member

  #7
  May 11, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wote wana kosa. bosi amefanya kosa ambalo angeweza hata kutuhumiwa kwa wizi wa gari kwa sababu mwenye jukumu la kutunza na kuendesha gari ni dereva. Pia dereva amefanya kosa la kumtelekeza bosi wake. Bosi alitakiwa achukue usafiri mwingine na kuacha gari ya ofisi hapo dereva alipoiacha. Baada ya kufika ofisini angechukua hatua zinazostahili dhidi ya dereva.
   
 8. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  Dereva na bosi wote ni ngunguri na hawana hekima. Boss alipaswa kuripoti polisi ili aruhusiwe kuondoka na gari, inaonesha drv ana agenda ya siri kwa boss huyu , so , boss ameingia mkenge, atakutwa na hatia kwa kuwa hana ushahidi kuwa drv alitelekeza gari. Hata hivyo, hii ni kesi ya ndani- drv alipaswa kushtaki kwa mkurugenzi wa halmashauri.
   
 9. F

  FJM JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kwanini bosi alibaki kwenye gari wakati linatengenezwa?
   
 10. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #10
  May 18, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  kwanini yeye akazima simu asibakie hapo hapo?
  kama bosi wake alikuwa na haraka asingekuwa na namna zaidi ya kudrrive mwenyewe
  dereva mzembe alienda wapi na kwanini awe ofline?
   
 11. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #11
  May 18, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  ulitaka drv aende wapi?
   
 12. Revolution

  Revolution JF-Expert Member

  #12
  May 18, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 570
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 60
  Utaratibu wa sheria za kazi hasa serikalini hauruhusu kabisa afisa/meneja/mkurugenzi au bosi yoyote kuendesha gari la serikali bila kibali. Hapo ilibidi atoe taarifa ofisini au ofisi yoyote ya serikali ili aletewe dereva aliyeajiriwa kwa kazi hiyo. (kila mtu na ofisi yake jamani)
   
 13. IKHOIKHOI

  IKHOIKHOI JF-Expert Member

  #13
  May 20, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 366
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  dereva????? kapata wapi hii jeuri?? basi huyo bosi atakuwa bosi jina.
   
 14. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #14
  May 21, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,621
  Trophy Points: 280
  Serikali inaendeshwa kwa sheria, taratibu na kanuni, gari la serikali linakuwa chini ya dhamana ya dereva and not other wise. Uwezo wa bosi kisheria sio kujichukulia uamuzi wa kuendesha yeye bali alipaswa kumu assign dereva mwingine, au kumtaarifu DAP kuwa kuna dharura dereva ame obscond porini, hivyo bosi akafanya initiative kuokoa jahazi.

  Kimakosa ya kiutendaji, mwenye kosa ni bosi maana 30 min is not tuu much to wait!. above that ndio too much!.

  Kwa sheria za kazi, yule dereva atatakiwa kundika maelezo na ataishia kupewa onyo kwa uzembe kazini na kuhamishwa kituo cha kazi. Bosi ataandika tuu maelezo na issue itaishia hapo.

  Tukija kwenye haki, mabosi wana haki zaidi!.
   
Loading...