Mume wa mtu afia nyumba ya wageni(guest house) akiwa na mke wa mtu wakivunja amri ya sita:

Ndo maana siku hizi tukimuona mwanaume ana nyumba ndogo tunamdharau tu. Kumridhisha mkewe hawezi, na anaogopa asiaibike mtaani manake mkewe ndo kazoea kumfichia siri. Kazi ipo!

Umejuaje kuwa mkewe haridhishwi? siri ya mtungi aijuaye kata
 
Hivi huyu siku ya mazishi tukisema "mungu amlaze mahali pema peponi...itakuwa inatoka moyoni kweli? Maana kama kuna uwezekano akalazwa pema, huko motoni ataenda nani?
 
Heshima kwenu wadau.

Mume wa mtu aliyejulikana kwa jina moja la Kayange mkazi wa Mbezi magari saba amefia gesti akiwa na mke wa mtu aliyejulikana kwa jina la Naomi naye mkazi wa Mbezi jijini Dar es salaam.

Imeelezwa bwana Kayange aliaga anaenda Bagamoyo kikazi naye bi Naomi aliaga anaenda safari,wakiwa wamekumbatiana ghafla hali ya bwana Kayange ilibadilika sababu ikiwa ni kuzidisha vidonge vya kuongeza nguvu za kiume..

My take.

Bwana Kayange unamnywea mke wa mwenzio vidonge? MUNGU amekuona nenda kajibu

jamani wadau,msiwe mnashindana na mlikotoka,kule huwezi kupashinda hata ukila viagra mia saba,ule ni kama utumbo tu umetokeza kwa nje,hata ufanye nini huwezi kuuong'oa wala kuubandua.hii ni nooouumaaaa sanaaaaa
 
Makubwa haya...Mungu kamuadhirisha vbaya sana..maskin Mke wake ataumia kwel...na naomi kibut live
 
My take.

Bwana Kayange unamnywea mke wa mwenzio vidonge? MUNGU amekuona nenda kajibu[/QUOTE]
Kama vile nakuona unavyoitamka sentence hii kwa uchungu!
 
Ama kweli wanaume mwaka huu tunapukutika lakini vidosho vinabaki kuuguza tu maumivu na aibu,vichwa viwili naona vinashindana kufikiri ndio maana ya mabalaa haya yote.
 
Mke wa mtu mume wa mtu ngoma droo nashauri waliobaki waungane kulea watt he he he he:busu
 
hii ni hadith ya uongo kwasababu haini vifuatavyo. Gesti gani. ni lini. ni wapi. majina kamili na udhibitisho wa polisi.
hii stori ya uwongo. si ungetuwekea hata picha bac. maiti iko wapi tuhakikishe. uwongo
 
Ajali zingine mbaya kama sura yangu,.Ila huyo Jamaa noma sana maana kumunywea vidonge mke wa mtu ni kumkomesha au Mwanamke alikuwa anampelekesha sana kwenye Mechi ndio ikawa chanzo cha mume wa mtu kunywa midawa kibao.
 
Ayo madawa
noma kuna msichana flan whites IV anapitishaga kwenye Maba gym anawabania wadingi NA majamaa WA ivi ivi,nashanga hii mavitu tfda wanaruhusu wabongo bana
 
hatari kwani kutulia mkeo ni kazi sana mpaka umeze hayo madudu......... fedheha kwa familia yake,,,,,
 
Back
Top Bottom