Recent content by sigalile

  1. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA Iramba wakamatwa na polisi

    Tangu nianze kufuatilia comments zako haujawahi kuweka cha maana ni pumba tu. Haya mzee wa rambi rambi
  2. S

    JamiiForums Tanzania Adui yangu ni mtu yoyote anayeiunga mkono CCM

    Vp mkuu unaelewa maana ya kuunga mkono au umesukumwa kuandika Hyo comment yako? Mtoa mada amesema yeyote anaye unga mkono wewe unaanza kuorodhesha vitu nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ratiba M4C OPD- Mbowe na Dr Slaa wabadilishana Routes.Ni kishindo kikubwa leo...

    "KINACHOVYAA" vp hili neno ni la kiswahili? Hii inaonyesha kiasi gani huna uwezo wa kufikiri. Nina wasiwasi na kiwango chako cha elimu
  4. S

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu CHADEMA

    mtoa mada lazima ulikuwa huna la kufanya ukaamua kuweka hapa upuuzi kama huu. Ucwe mvivu wa kufikiria
  5. S

    JamiiForums Tanzania Dr.Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM na CHADEMA

    sasa nina wasiwasi na elimu Mh. Mkumbo Hyo Dr. Labda itakuwa co sahihi yaani anataka kutuaminisha hajui mambo ya Zitto tangu mwaka 2009. He will not fool us. Ametumwa Huyu na lazima wanamlipa parefu
  6. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuzindua umoja wa wanafunzi Wa Shule Za sekondari ambao Ni Wafuasi Wa CHADEMA

    sasa ndo watapata sifuri wote. Siasa kwa wanafunzi wa sekondari izuiliwe haraka sana
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mnaotaka nafasi za ubunge kupitia CHADEMA mmeisoma hii?

    Hyo mnaijua nyie mi naenda kumtoa mtu Iringa mjini pale kwa tiketi ya Chama cha mapinduzi
  8. S

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa kuongoza tamasha la 'Boda boda day' Jijini Dar es Salaam

    Duh!!! Huyu uncle naye anahangaika kweli pole sana EL unajitahidi kujisafisha eti watz wakuone mtu safi.
  9. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA isipomvua Zitto uanachama...!

    Hahahahaha kinana na mbuga mbona atasafirisha hadi nyasi na tutabaki na jangwa
  10. S

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, Hayo ndio maazimio ya Bunge ambayo Werema anakwepa kueleza utekelezaji wake

    we bwana MM taja hayo majina acha mbwembwe zako na hyo TAKUKURU ina maana hujui kama ni mbwa koko asiye na meno.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mrema: Nitagombea tena Ubunge

    Kwani mtaji aliokuwa anautafuta haujatimia? ni bora ccm wa muongezee kutoka kwenye kodi za line tunazokatwa Kimya Kimya ili akafuge kuku na ng'ombe maana ndo kazi za wastaafu wengi vinginevyo anatafuta aibu.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa aboronga Bungeni

    u ar taking us out of truck lengo la msigwa ni kujua mikakati ya serikali kulinda misitu wewe unaleta habari za kukosea ukokotozi shame on u
  13. S

    JamiiForums Tanzania Lema: Magembe ni Waziri Mzigo na Medeye ni bomu!

    jamani cheupe ndo mzigo
  14. S

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa mzee kamanda aliejitolewa kuipa chadema kiwanja chake bure (picha)

    Lilambo Nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiria
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wote ni mizigo... isipokuwa wawili

    Kweli kaka wanakula mali za uma bure tu
Back
Top Bottom