Mrema: Nitagombea tena Ubunge

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,280
2,000
Mrema akichangia bungeni leo katangaza kuwa atagombea tena ubunge.Kwa mbwembwe kubwa sana.
 

pingu mkoka

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
434
225
Namshauli mrema aende tu mosho akaendelee kutunza migomba yake,umri umeshamtupa mkono.ana wasiwasi gan lidandasi c ipo?
 

Vmark.

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
1,353
0
Alivyokuwa anaongea kwa kutetemeka hadi alikuwa anatia huruma.Hana hati miliki kwenye jimbo la Vunjo.Ni haki yake kikatiba kugombea but 2015 there will be no room for him again.Apumzike tu hatuna mfumo wa umangi tena uchaggani.
 

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,280
2,000
Namshauli mrema aende tu mosho akaendelee kutunza migomba yake,umri umeshamtupa mkono.ana wasiwasi gan lidandasi c ipo?

Mzee atakwenda fia ktk vijiwe vya nyama choma.Anaweza kwenda gombea ukuu wa wapiga mizinga ya nyama choma vilabuni.
 

Vmark.

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
1,353
0
Sidhani kama wananchi wa Vunjo ni wajinga kiasi hicho.

Mimi kanisikitisha sana kwa kauli yake hiyo.Ushindi aliopewa na maCcm asiutegemee tena 2015.Vunjo sio vilaza hadi wamrudishe tena bungeni.He must be dreaming.
 

LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
6,396
2,000
Mrema akichangia bungeni leo katangaza kuwa atagombea tena ubunge.Kwa mbwembwe kubwa sana.

Kwa lipi alilofanya Vunjo? Aache ujinga wake huyu babu, kashindwa kuwapelekea maji, kashindwa kupeleka umeme mashuleni bado ana tamaa ya jimbo???
 

nkongu ndasu

JF-Expert Member
Jan 19, 2013
22,523
2,000
Teh teh, nitashangaa sana watu wa kule kilema, maua, kisangiro na wengineo wataendelea kutuletea hiki kikongwe mjengoni!
 

sigalile

Member
Dec 16, 2013
15
0
Kwani mtaji aliokuwa anautafuta haujatimia? ni bora ccm wa muongezee kutoka kwenye kodi za line tunazokatwa Kimya Kimya ili akafuge kuku na ng'ombe maana ndo kazi za wastaafu wengi vinginevyo anatafuta aibu.
 

Power G

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
3,897
1,225
Wanavunjo ndiyo wana haki ya kumchagua mbunge wao na siyo wana JF. Mwacheni agombee maana katiba inamruhusu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom