Huyu hapa mzee kamanda aliejitolewa kuipa chadema kiwanja chake bure (picha)

Unaongea nini? Ccm wana nin? Viwanja wamenyang'anya vya umma, majengo yote ya walioyonayo ni ya umma. Wamechukua majengo mali zote za kipndi cha nyerere ambapo kilikuwa kipndi cha ujamaa. Acha usenge ku...mama....ko!

Kwa hiyo na cdm wananyang'anya kwa wazee!
 
Mmmmh hawa cdm hata wapewa ekari mia hazina maana kwao. Kwa sbb akili za kuviendeleza hawana kabisa. Kama hamna ofisi makao makuu mtaweza kuijenga hulko Mwanza. Arusha mlipewa eneo kubwaaaa lakin mpk leo hakuna kitu zaid ya mh Lema kutuhumiwa kashaligeuza lake. Hamna la maana hapo pole mzee kwa kutojitambua kabisa.
 
Hakuna kitu kibaya kama kuiba hela ya Marehemu

Mkuu nikumbushe jina la Yule mkurugenzi mwenzio pale ufipa Yule aliiba mchango wa msiba wa mwanafunzi pale mlimani Yeye akiwa Kiongozi wa serikali ya wanafunzi ,hivi anaitwa Nani vile mkuu?
Halafu ni wa Dodoma Yule jamaa nasikia laana Ile inamuandama mpaka leo ndio maana toka aanze kugombea hakuna nafasi aliwahi shinda ukiacha mbali hiyo yakuteuliwa aliyonayo.
Duh kweli Kula hela ya msiba ni laana mkuu.
 
Duh kweli Kula hela ya msiba ni laana mkuu.

Nasikia hata wewe unadaiwa na jamaa mmoja pale UDSM aliyekuongezea alama za kozi ile ya Sociology uliposhindwa.kupata hata Course Work ya 16...Nasikia anadai mkupuo mmoja ati!Mkutane Lunch Time Hotel mmalizane aisee maana hiyo kitu si kipande cha sabuni kuyeyuka!
 
Huyu mzee bado yuko usingizini akisha amka ataijutia ndoto yake na atatamani arudi usingizi kumbe toooooo late!
 
attachment.php
 
Lukosi anamuogopa mama Mwangosi kiasi hiki! kweli nafsi inamsuta, ukusanye mapaundi kibao ulete milioni moja tu!
By the way Mungu akubariki Mzee wetu kwa kuchangia UKOMBOZI na kuruhusu kiwanja chako kwa CDM.
 
Kwa maCCM huo ni mkuki. Utaona kesho nao wananunua kiwanja wanasema wamepewa bure. Ziara ya kinana ya karibu siku 26 hakuna hata hatua 5 zimetolewa. Siku 2 Mbowe Mza zinaleta kiwanja lakini bado mnaendelea kung'ang'ania mna watu. Pambaf....
Time will tel..........
 
Hicho kiwanja lazima kilete mgogoro hapo mbeleni, kati ya MBOWE, CHADEMA na FAMILIA ya mzee aliyeingizwa chaka!
 
Wameshapewa vingapi na wameendeleza vingapi?? Ukiangalia asset register ya CDM hamna building yoyote wala land. Siyo agenda ya CDM kufanya long term investment yoyoye cuz wanajifahamu kuwa wao ni wapitaji tu na wanajichumia matumbo yao.Mzee Sabodo alijitahid kuwapa na eneo but mpaka leo hamna kilichofanyika. Huyo mzee bora angetoa sadaka msikini au kanisani.
Kama vile wahindi wasivyojenga tanzania
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom