Zitto Kabwe, Hayo ndio maazimio ya Bunge ambayo Werema anakwepa kueleza utekelezaji wake

Yeye si amesema kwamba ana majina ya wenye fedha Uswis? Tunachotaka toka kwake ni atutajie tu hayo majina. Simple. Kama hana atuombe msamaha kwa kutudanganya kwa muda wote kuwa anayo majina ya walioficha hela Uswis,
 
Zitto aache kutusumbua jamani, ngoja tumaidie kuyataja hayo majina kupitia hvyo vyeo alivyoainisha kupitia kwenye twira yake, lkn mwisho uliyeanzisha thred bw MWEKUNDU umuite aje aseme km kweri au si kweri, hapa ni jamii foroum tunajadili mambo bila kuficha ficha vitu,
haya tunaanza

waziri mkuu 2003 - 2010. Fredric sumaye, edward lowasa
madini 2003- 2010. Daniel yona, ibrahim msabaha, nazir karamagi
ULINZI 2003- 2010. PRO; JUMA KAPUYA
haya tuendelee na orodha wadau.......................

 
mwekundu Mimi nakubaliana mawazo yake lakini best place kuongelea ni Bungeni ambako wengi wa watanzania watasikia , Werema alisema Bungeni na ni vyema haya yakarudi Bungeni .
 
Last edited by a moderator:
Kijana ashasema kwa kiapo kuwa 'hana jina hata moja'.mbona watu mnakuwa wagumu kuelewa.zaid ya hapo anachoweza kuzungumza kwa sasa ni propaganda
 
Kumbe wenye MAPESA na vijisenti Uswisi ni hawa basi tunawajua maana si hawa Watanzania wote waliowahi kushika nafasi za
UwaziriMkuu kati ya mwaka 2003 mpaka 2010 ni......
waliowahi kushika nafasi za Uwaziri wa Nishati na Madini ni.....
Uwaziri wa Ulinzi.......
Ukuu wa Majeshi.......,
Ukatibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini.......
Ukatibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi,......
Uanesheria Mkuu wa Serikali..........
, Ukamishna wa Nishati,......
Ukurugenzi Mkuu waTPDC,....
Uenyekiti na Ujumbe wa Bodi waTPDC katika ya mwaka 2003 mpaka 2010.

JAZA NAFASI Zilizoachwa wazi
Mkuu nimependa mantiki yako ila umeacha watoto wa viongozi
 
Maoni haya ya zzk ni mazuri na yanaweza kulifaa Taifa ikiwa tu serikali ni sikivu kwa maslahi ya Taifa. Lakini kama serikali ni sikivu kwa maslahi ya watawala atapuuzwa kama inavyotokea sasa. Rejea kauli ya CAG
 
Ndugu mheshimiwa saaana Zitto
bila shaka unakumbuka vema ulituambia una majina, ukasema pia bila shuruti ukiwa na akili timamu kwamba uko tayaro kuyataja tena ulitupa time frame, wakati mwingine ulisema ungetaja bungeni.

ghafla tukahabarishwa na AG kwamba ulisaini kwa kiapo kwamba wewe huna majina. Leo kule facebook na twitter umeweka haya maneno.

sasa ndugu tukueleweje? una siymamia nini na wapi kwenye hoja zako? kwanini unapenda na kufurahia kudaganya umma wa watanzania? kwanini unafurahia kutupotezea muda?

kwa nguvu ile ile tuliokusapoti toka mwanzo uliposema una majina na sasa imedhihirika pasi na shaka kwamba huna lolote, si chochote zaidi ya mtafuta sifa kwa ego yako mwenyewe, basi tutatumia nguvu hiyo na ziada kukukataa kwa utapeli wako, uongo wako, uzandiki wako na ubinafisi wako.

hustahili hata kuitwa mbunge muakilishi wa wananchi maana umewadhalilisha sana wapiga kura wako, umejidhalilisha sana mbele ya umma wa watanzania.

kwa kifupi nchi yetu haihitaji viongozi wa aina yako. Hatuwataki waongo na wabinafsi.

la vp kwa faida ya heshima yako ili irudi, weka MAJINA hapa, taja majina
 
Last edited by a moderator:
Zitto aache kutusumbua jamani, ngoja tumaidie kuyataja hayo majina kupitia hvyo vyeo alivyoainisha kupitia kwenye twira yake, lkn mwisho uliyeanzisha thred bwMWEKUNDU umuite aje aseme km kweri au si kweri, hapa ni jamii foroum tunajadili mambo bila kuficha ficha vitu,
haya tunaanza

waziri mkuu 2003 - 2010. Fredric sumaye, edward lowasa
madini 2003- 2010. Daniel yona, ibrahim msabaha, nazir karamagi
ULINZI 2003- 2010. PRO; JUMA KAPUYA
haya tuendelee na orodha wadau.......................


kuna na huyu
attachment.php
 
Theo Mutahaba amjibu Zitto
Ndg. Zitto
Nasikitishwa sana na hizi tabia zako za ajabu ajabu. Mimi nafanya kazi katika moja ya taasisi za ki usalama na nimeshirkia mara kadhaa kukupa fedha.

Nyendo zako hata na sisi tunazijua na nimeshangazwa na utoto wako wa kuandika waraka ambao umetoa vitisho ambayo inadaiwa kutoka kwa Andrea Codes. Ndugu napenda kukuonya kwamba umefanya mengi ambayo hata wana Chadema hawajui.

· Swala la Bomu Arusha ulishiriki na lengo ilikuwa ni kumuua mwenyekiti wa Chadema pamoja na
Ndg. Lema. Hii kitu ulipanga, wewe, mwigulu na vyombo vya usalama ·Zitto, rais Kikwete alipoenda Sudan ya Kusini uliambatana naye. Unakumbuka sababu ya wewe kuitwa? Nikukumbushie kwamba ilikuwa zawadi kwako ya kuihujumu chadema. CCM hawakupendi, bali wanapenda hujuma zako ndio maana walikudanganya kwamba watakusaidia kupata uenyekiti CDM ikiwepo kumuua Mbowe na kumdhoofisha Dr. Slaa

· Ndg. Zitto unadanganya umma kwamba unafuatilia fedha Uswisi wakati hii ni njama ambayo imesukwa na TISS kisha ukakabidhiwa ili CHADEMA isiibane sana serikali.

· Tueleze ni majina gani uliyoyapata. Na kama umeyapata, tunaomba kujua jina lako ni namba ngapi, kwa sababu na wewe una fedha nje ya nchi na ushahuidi tunao

· Umekuwa ukijenga mtandao wa kuwania uenyekiti na fedha ulizopewa na TISS pamoja na CCM ili kumn’goa Bw. Mbowe kwenye uenyekiti
wa CHADEMA ili 2015 CCM ishinde.

· Zitto, una ghorofa Dodoma karibu na St. Gasper Hotel. Fedha za kujenga lile jengo zimetoka wapi?

· Zitto, Barrick gold walikujenga shule pale jimboni kwako. Baada ya lile shule kujengwa na pia kupewa kitita cha fedha ulinyamaza kabisa

· Ndg. Zitto, wakuu wengi wa mashirika ya umma wameleta malalamiko TISS kuhusu unavyochukua
fedha kwao. Hilo unalijua kama ni ufisadi?

Ndg. Zitto, wewe ni kijana mdogo. Hizi tamaa zako za kifisadi zitaipeleka nchi pabaya. Tunakuangalia na kelele zako hasa fedha za uswisi. Usichezee na akili za watanzania. Wewe ni fisadi namba moja.

Umeficha fedha nje, ama nikukumbushe kwamba, majuzi ulipokuwa nje ya nchi ulitoa fedha kwenye benki Fulani. Ile account umefunguliwa na nani?

Badilika kijana. Kisiasa umeshajimaliza. Pengine nikukumbushie kwamba mawasiliano yako na Jack Nzoka, Mwigulu, Ridhiwani za kisaliti ndio chanzo cha kuanguka kwako. Ila hacha kuwadanganya watanzania na kiini macho cha Uswisi. Umeshajua mengi sana , usishangae kijana ukija kutoweka ghafla. TISS hawachezi na mtu. Na ni wao au CCM ndio watakao kumaliza sio CHADEMA.

Ule waraka unaosambaa ni mali ya TISS na imeratibiwa na CCM ambao ndio ndugu zako wakubwa Andrea, take care of your son. Get out of these Zitto corrupt acts. you know quite well that we wired you money and we have the evidence. Why would you waste your effort making noises? do you know the German government is investigating this matter? why would you fall for Zitto childish internet games of writing emails to the Chadema

leaders. So for your information, the document came from CCM and Tanzania Intelligence
Services Nakutakia kila la kheri kwenye kuhujumu Chadema.
 
Huu nauita utoto, badala apeleke hoja yake (kama kweli ni hoja) bungeni yeye anakimbilia kuuza sura FB na Twitter? Ni wale wale tu!
 
Naona adui namba moja wa Zitto ameshashuka tayari jukwaani akiwa na ID tofauti.Welcome Mr LANE!
 
we bwana MM taja hayo majina acha mbwembwe zako na hyo TAKUKURU ina maana hujui kama ni mbwa koko asiye na meno.
 
Kwani wewe zitto kwa nini usiwataje hao watu au mpatie hayo majina

kamanda wangu Lema asiye na haya awataje? kwani si kweli pesa wamezificha? wacha watajwe
ili sisi wananchi turidhie tafadhari bwana zitto
 
Back
Top Bottom