Recent content by sigachuma

  1. sigachuma

    JamiiForums Tanzania DIT Undergraduate selection

    Kuna tetesi kuwa majina soon yatakuwa hewani. Kwani mechanical Eng. Washabandika majina yao pale chuon. Ila hali ni tete kwa kweli
  2. sigachuma

    JamiiForums Tanzania Samsung GT 9100 (S2 ) For SALE

    Leta laki 2.90
  3. sigachuma

    JamiiForums Tanzania Mgombea wa CHADEMA Chalinze hana sifa,anastahili pingamizi

    acha kutumika kijana jitahidi kuwa pamoja na nguvu ya mabadliko
  4. sigachuma

    JamiiForums Tanzania Nokia E52 na Nokia E72 ziko sokoni!!

    Mpya? Used? Kama mpya ntakuchek tubagain hiyo e52
  5. sigachuma

    JamiiForums Tanzania Jengo la Tigo Makao makuu (Derm House) lipo hatarini kudondoka

    We rijamaa una asili ya mura... M2 kakuambia yupo palapale ww unambishia . Cjashangaa sana hata unavyoamin kuwa engineers are only from udsm. Takwimu sahihi nenda pale ERB tz watakupa na ukitaka hata mifano pia. Shida ya ss watz ni kuamini ulichoaminishwa na babu zako. Ndio sawa na wale...
  6. sigachuma

    JamiiForums Tanzania Jengo la Tigo Makao makuu (Derm House) lipo hatarini kudondoka

    Sio lazima udsm. Tuna vyuo vingi sana tz vyenye zaidi ya hao wataalam unaosema. We hv DIT,MUST,ST. JOSEPH PIA. Kwa hiyo km hao unaowataka hawapo lisikaguliwe eeee..... Ulimbukeni huo. Eti nataka hii sitaki hii
  7. sigachuma

    JamiiForums Tanzania Nauza samsung galaxy S duos

    Specs zake??? Picha??
  8. sigachuma

    JamiiForums Tanzania bb curve 5 inauzwa 300,000

    Weka hata pic ha mkuu, hizo curve zip nyingi sana
  9. sigachuma

    JamiiForums Tanzania msaada kwenye tuta"whatsapp ktk nokia x2-02

    Ninayo Nokia x2-02
  10. sigachuma

    JamiiForums Tanzania Warning kuhusu simu za Galaxy S4, S3, Note 2 za kichina

    kumbe nimepona na ttzo. nashukuru kwa kunifungua bwn Chief
  11. sigachuma

    JamiiForums Tanzania Warning kuhusu simu za Galaxy S4, S3, Note 2 za kichina

    hata mm nina hiyo s2 ss cjui nilichakachuliwa? ina internal memory ya 14gb na ram kama kawa 1gb. nilimuuliza muuzaji akaniambia hizo 2gb zipo ktk application na kuwa huwez ona total yote 16gb. is it true? ila kazi inapiga frsh saana
  12. sigachuma

    JamiiForums Tanzania blackberry,samsung for sale

    cjaona bei ya s2 hapo mkuu
  13. sigachuma

    JamiiForums Tanzania Photosmart Bplus 250

    Kazi yake kuprint picha tu? Mbona photo...
  14. sigachuma

    JamiiForums Tanzania /Galaxy S4

    sio yenyewe hiyo,laki 6. kwa s4. hapana mkuu. tupe specs zake. hata s3 ukipata ni zile za kawaida sio original
  15. sigachuma

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Tanzania Vs Ivory Coast – World Cup Qualification 2014, June 16, 2013

    Leo Nyoni nimeshuhudia akiwa ni sababu ya magoli mawili. 1. La kwanza mabek wa starz walicheza offside trick ila yy alibaki na ndo likawa goli. 2. Alimsindikiza gervinho toka mbaaaali alipofika ndani ya 18 huku akijua lolote litakalofanyika inaweza kuwa penalt, na yy akamsukuma...ila ndo mpira...
Back
Top Bottom