Mgombea wa CHADEMA Chalinze hana sifa,anastahili pingamizi

kilombero yetu

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2011
Posts
1,004
Reaction score
117
taarifa tulizo nazo ni kuwa mgombea wa ubunge chalinze kupitia chama cha chadema bwana MATHAYO TORONGEI HANA SIFA ZA KUWA MBUNGE WA CHALINZE,na kama atatokea mgombea mwenzake yeyote kumuwekea pingamizi basi anaweza kuenguliwa, tutawaletea taarfa zaidi hapa hivi karibuni
moja ya sababu ni hii
1.baadhi ya wadhamini si wakazi wa chalinze
2..........................
zingine zitafuata
 
Wewe vipi unajikomba kwenye familia ya rais? Si ufe tu na umasikini wako kuliko kujikomba komba.
 
taarifa tulizo nazo ni kuwa mgombea wa ubunge chalinze kupitia chama cha chadema bwana MATHAYO TORONGEI HANA SIFA ZA KUWA MBUNGE WA CHALINZE,na kama atatokea mgombea mwenzake yeyote kumuwekea pingamizi basi anaweza kuenguliwa, tutawaletea taarfa zaidi hapa hivi karibuni
moja ya sababu ni hii
1.baadhi ya wadhamini si wakazi wa chalinze
2..........................
zingine zitafuata

Kalenga anagombea MWINGELEZA kupitia CCM vipi hili ulilionaje? je kule Kalenga hakuna Watanzania walio na uwezo wa Kugombea kupitia CCM? TAFAKARI KWA KINA. Utaendelea kutumika humu JF huku wenzenu wakirithishwa vyeo na baba zao na nyie mnabaki kuuza NYANYA
 
umevurugwa wewe!!!!!
 
Bange na viroba vya asubuhi vina madhara yake; mengine ndio haya ya mleta mada.
 
Kalenga anagombea MWINGELEZA kupitia CCM vipi hili ulilionaje? je kule Kalenga hakuna Watanzania walio na uwezo wa Kugombea kupitia CCM? TAFAKARI KWA KINA. Utaendelea kutumika humu JF huku wenzenu wakirithishwa vyeo na baba zao na nyie mnabaki kuuza NYANYA

mkuu nimeupenda sana ujumbe wako kwenda kwa hilo boya yaani tuna mitanzania mimbwa ya jalalani ukute baba yake akiumwa mpaka wanakijiji wamchangie akatibiwe.
 
taarifa tulizo nazo ni kuwa mgombea wa ubunge chalinze kupitia chama cha chadema bwana MATHAYO TORONGEI HANA SIFA ZA KUWA MBUNGE WA CHALINZE,na kama atatokea mgombea mwenzake yeyote kumuwekea pingamizi basi anaweza kuenguliwa, tutawaletea taarfa zaidi hapa hivi karibuni
moja ya sababu ni hii
1.baadhi ya wadhamini si wakazi wa chalinze
2..........................
zingine zitafuata

Jitafakari katika hizi picha hapa chini wewe upo kundi gani na ukijigundua nafikiri akili yako itakaa sawa.

Maisha bora kwa kila mtanzania.jpg View attachment 144633 Mama na watoto.jpg shule tanzania.jpg
Je kwa picha hizi hapa juu ni halali wewe kushabikia unashokishabikia?
Jerry Silaa akifungua semina ya siku mbili ya viongozi wa UVCCM Mkoa wa Mbeya.jpg View attachment 144634 View attachment 144638 View attachment 144640

Hawa hapa Juu hawayajui yanayotokea katika hizo picha za mwanzo, je unavyowashabikia ni sahihi?
 
Kalenga anagombea MWINGELEZA kupitia CCM vipi hili ulilionaje? je kule Kalenga hakuna Watanzania walio na uwezo wa Kugombea kupitia CCM? TAFAKARI KWA KINA. Utaendelea kutumika humu JF huku wenzenu wakirithishwa vyeo na baba zao na nyie mnabaki kuuza NYANYA

Watu wanajiuliza akina mama wengine Kalenga hawakuzaa? Hawakusomesha? Ni akina Mgimwa tu ndio wenye watoto? No...
 
mleta mada anaakili fupi kuliko fikira ya senene gizan na mwanga wa taa ukija mbele yake yee n kwenda kichwa kichwa!!!!
Kaboost kichwa urud usie na aakili wewe...
huna jez wala viatu unataka kucheza super cup???
 
taarifa tulizo nazo ni kuwa mgombea wa ubunge chalinze kupitia chama cha chadema bwana MATHAYO TORONGEI HANA SIFA ZA KUWA MBUNGE WA CHALINZE,na kama atatokea mgombea mwenzake yeyote kumuwekea pingamizi basi anaweza kuenguliwa, tutawaletea taarfa zaidi hapa hivi karibuni
moja ya sababu ni hii
1.baadhi ya wadhamini si wakazi wa chalinze
2..........................
zingine zitafuata

No research; no right to speak. hujui unachoongelea. kafanye utafiti mpana zaidi ulielewe somo lako. BS
 
acha kutumika kijana jitahidi kuwa pamoja na nguvu ya mabadliko
 
Back
Top Bottom