Warning kuhusu simu za Galaxy S4, S3, Note 2 za kichina

Warning kuhusu simu za Galaxy S4, S3, Note 2 za kichina

Hahaha. Sasa OS hujui, simu yako unatumia kubip na kutuma sms ama? Usipotee sana shemeji.
Mi ni user tu shem. Kimachotakiwa kwangu ni simu iwe na uwezo wa kufanya nayoyataka. Kila mtu huwa anasema yake..wengine wanasema ios ndio best, wengine android, wengine windows, wengine rim na leo nasikia kuna OS za kichina. Nimeshatumia simu zote but sion tofaut. Nachofanya sasa ni kugoogle best smart phone, inayokuwa ya kwanza kwenye market ndio nainunua. Sihitaji kwenda into details cuz najua vile vitu basic navyohitaji lazima nitavipata.
 
Mi hayo mambo ya OS sijui atuntu siyajui..nilinununua galaxy S4 dukani kwa samsung dealer, ni made in China...warranty ya miaka 2 inacover mpaka physical damage.
.

Mzee Rejao ulipotelea wapi tena ndugu yangu? Yaani huwa naku-miss sana yaani tu hasa sura yako!
 
Kwani teknolojia ya Mchina na Mkorea zinatofauti yoyote kubwa?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Hahaha...nipo mkuu, majukumu yamezidi ndio maana hunioni sana. Huwa nakuwa tu mtizamaji mzuri.

Mkuu Rejao pole sana naona M4C inazidi kukuzeesha
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Rejao pole sana naona M4C inazidi kukuzeesha

hahahaha kwa jinsi m,livyoanza na Rejao nilijua tu mtafika nae kwenye siasa,hebu turud kwenye tknolojia,najifunza mengi hapa maana me nimeng'ang'ana na NOKIA yangu,nshaidondosha zaid ya mara 20,ni C3-00 ila sasa inakataa kudowload whatsapp,inaniambia dowload failed,nifanyeje?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Rejao pole sana naona M4C inazidi kukuzeesha
CDM kwa sasa haina madhara kabisa. Ndio maana nimeamua kupumzika. Albedo, wewe mwenyewe ni shahidi kuwa 4mc imefeli. Matarajio waliyokuwa nayo siyo waliyoambulia. Siku zote mkubwa ni mkubwa tu na mwenye nacho huwa anaongezewa.
 
Last edited by a moderator:
hahahaha kwa jinsi m,livyoanza na Rejao nilijua tu mtafika nae kwenye siasa,hebu turud kwenye tknolojia,najifunza mengi hapa maana me nimeng'ang'ana na NOKIA yangu,nshaidondosha zaid ya mara 20,ni C3-00 ila sasa inakataa kudowload whatsapp,inaniambia dowload failed,nifanyeje?
Mkuu siasa ndio kila kitu, bila siasa hata haya mambo ya teknolojia tusingekuwa tunayajadili hapa. Kuhusu simu yako, angalia issue za memory, au bandle unayotumia
 
Last edited by a moderator:
Mimi sina habari na hayo ma phone gallaxy s4 nasumbua tu humu JF na samsung gallxy tab p1000 huu mwaka wa tatu sasa nikubadilisha tu cover na guard ya screen tu wanaocomplicate ndio wanaouvaa mkenge.
 
Hahaha...nipo mkuu, majukumu yamezidi ndio maana hunioni sana. Huwa nakuwa tu mtizamaji mzuri.
Lumumba walikusitishia malipo ya kila post buku ndio maana ukakimbia Jf sasa hivi wanakulipa buku saba kwa post sema tu ukweli Rejao.
 
Je zinatumia android jelly bean kweli au hata os ni fake
Na kama inatumia os original inabeba apps za android bila shida?

mimi mwenyewe nathani hiki ndo cha msingi
 
zipo nyingi tu feki sema zinagundulika kirahisi
1. ukitype hairespond vizuri kila saa unakosea au ukitouch namba haifany kitu
2. zinatumia line kubwa badala ya ndogo
3. hazina playstore ya kudownload apps
4. zina java apps wakati iphone haina java
5. ukiclick browser ya safari inakuletea uc browser
6. nyengine zina memory card wakati iphone haitumii memory card
7. zina usb cable universal ya kawaida kama nokia, samsung wakati iphone cable yake ni unique
8. mandishi mandishi ya kichina unayakuta baadhi ya maeneo wakati kwengine ni kingereza

Umesahau tv redio na antena
 
afadhali mi uwa nasubiri kwanza hata mwaka upite ndo nichukue, mimi now galaxy s2

hata mm nina hiyo s2 ss cjui nilichakachuliwa? ina internal memory ya 14gb na ram kama kawa 1gb. nilimuuliza muuzaji akaniambia hizo 2gb zipo ktk application na kuwa huwez ona total yote 16gb. is it true? ila kazi inapiga frsh saana
 
Je zinatumia android jelly bean kweli au hata os ni fake
Na kama inatumia os original inabeba apps za android bila shida?

mkuu os ni jelly bean sawa lakini hapa ninachowatahadharisha watu ni kuuziwa simu ya laki 2 kwa milioni moja ukidhani ni original.

mfano mtu akija akisema bwana hii ni s4 lakini ni clone ya mchina nipe laki 2 na nusu, basi mtu kama huyo hana shida
 
hata mm nina hiyo s2 ss cjui nilichakachuliwa? ina internal memory ya 14gb na ram kama kawa 1gb. nilimuuliza muuzaji akaniambia hizo 2gb zipo ktk application na kuwa huwez ona total yote 16gb. is it true? ila kazi inapiga frsh saana

mkuu hio ni sawa 16gb zinakua kwenye simu lakini kuna apps zipo pre installed. google wanaeka apps zao kama google map, playstore, google search, hangouts na samsung nao wanaeka apps zao kama chat ons, ndo mana space inaliwa hvo
 
chief usihangaika mie nimezikuta Aggrey tena kwa laki na nusu.

mkuu kuna simu ya kichina na clone ya kichina.

maybe hio imeandikwa tu s4 lakini hawajaclone kitu hebu niangalizie vitu hv kama vipo ntakupa hio laki na nusu na wewe nakutoa pia.

-kioo inch tano
- nenda setting then about iwe na android 4.2
- iwe na gesture features mfano ukipitisha mkono kwa juu inashake shake homescreen
 
Back
Top Bottom